Partey hawataki kumuwahisha ,huyo wanataka awe anacheza mechi muhimu tu, subiri utamuona Sana big matches,na UCL ,Naona bench la wauguzi Wana mpush zaidi partey ili arudi mapemaView attachment 2828493
Nasikitika atawakosa liverpunda hii round ya kwaanzaPartey hawataki kumuwahisha ,huyo wanataka awe anacheza mechi muhimu tu, subiri utamuona Sana big matches,na UCL ,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
Lens leo apangiwe full mkoko
Apelekewe Moto mwanzo mwisho
Apigwe mkono ili kuweka heshima sawa
View attachment 2828476
Karibuni sana ndugu zetu saa 5 usiku kwa majira ya saa za afrika mashabiki mshuhudie namna tunavyotoa shule ya soka kwa wadogo zetu kutoka ufaransa...kile walichokifanya siku ile kule kwao leo watajuta kwnn walikifanya maana ule ulikuwa ni utovu wa nidhamu🤠🤠🤠...tutawadunda na tutawafundisha namna ya kucheza soka safiView attachment 2828635wakati wanawashika ka li o hiyo ilikuwa under 10 au sio
Leo saa 5 usiku kwa masaa ya afrika mashariki kaa kwenye runinga yakoView attachment 2828635wakati wanawashika ka li o hiyo ilikuwa under 10 au sio
Matokeo mawili tu yanahitajika leo. Arsenal ashinde ama Lens afungwe.
Mkuu LCM si tayari yupo Lord Havertz!! 🤣🤣Sahihi, akipatikana LCM mzuri atarahisha vingi, na kumtegemea odegaard kutapungua nae majukumu yatampungukia, tutakuwa hatari saana pale mbele, mpaka leo bado hatujapata LCM hatari, bado tunapata afadhali wa kujaza kikosi tusicheze 9 uwanjani.
CF ni sahihi, anahitajika mtu ambae yeye na goli wana udugu wa damu, jesus ni mzuri, ila takwimu zake za magoli haziridhishi, labda tukipata LCM mzuri anaweza kuongeza takwimu ya magoli, shida nae siku hizi trip shamba, trip gereji... Majeraha yanamuandama.
Tuma mapesa hayo nikanunue uzi mie nivaeUsiseme uzi wajalaana, sema uzi wa mabingwa watarajiwa wa Uefa na Ligi Kuu mwaka 2023/2024
Utanicheki maeneo
Watawanyoosha sanaJumamosi tupo nyumbani dhidi ya Wolves, ni mechi ambayo hata wao wanaitaka, kocha Oneil kwa comment yake ya jana anaonekana anatamani kufundisha timu kubwa, na hizi ndio mechi wanazotumia makocha kama huyu kuionesha dunia Uwezo wao, unakumbuka Arsenal (3-2) bournemouth dakika za lala salama? Alikuwa huyuhuyu kocha, na mimi sipo tayari kuona Arsenal inadondosha point kwa timu kama wolves sasa. Ubingwa wa Ligi ni marathon. Lets go gunners.
Wakishawakanda na kupaki bus ndio utaelewa vizuriNapenda kuwafatilia Sana wapinzani wiki moja kabla ya mechi
Wolves wapo vzr kwenye buildup ,Lemina Gomes pale Kati ndio mihimili Yao,
Jana wote wamepata kadi za njano na kufikisha 5 kila mmoja ,wote wanaikosa mechi na Arsenal .,pia watamkosa Pedro Neto
Halafu wanakuja Emirates wakiwa uchi kwenye midfield vs BEMUNDA TRIANGLE.
Yea. Hapa Sevilla washinde tu ila sijui kama watatoboa na watu 10Arsenal anaweza ku-qualify hata kabla hajacheza depending on the results of the earlier match
Sevilla kumbe lengo lake ni EuropeAs things stand
Kwa matokeo haya arsenal ameshafuzu makundi
Tukutane mtoano/ ngumi jiwe
Sevilla amekufaYea. Hapa Sevilla washinde tu ila sijui kama watatoboa na watu 10