..kwa hiyo wanawapa updates kila baada ya muda siyo au ni speculations za watu? kwa hiyo hizo 2 ni confirmed? Arteta na Benayoun?@ Richard
Arsenal are preparing paperwork for the transfer of Mikel Arteta. Two minutes to go #ssn #deadlineday
transfer window has officially been closed- Is Arteta in?
Mda umeisha tunasubiri confirmation ya Arteta kama alifanikiwa kuweka wino.
Alisaini 1 hour before dead line si unajua Gunners wanafuata protocal hawawaambii wapiga majungu na wanolo, watajua in about 30 minutes . Kwa sababu confirmation ya paper work kuwa lodged inatoka FA kwenda kwa club husika.