Bado haujasema Mkuu...😅Kama kawaida yenu,mnabembea kwenye kuti kavu
.mbio zenu za sakafuni upepo utakata.
Saka ana akili sana ila hapa kaongea nini sasa? Yaani ndiyo sasa hivi anagundua hilo? Mbona kila mtu alishaona hilo tangu zamani? Au kina Ode na bunny blanco walivyokuwa wanampa support na overlap za kuepuka hizo double markings alikuwa anaona kama ni zali tu zinatokea? 😃Bukayo Saka amefunguka ,hili Jambo limekuwa likitokea ,wanakabwa na watu Hadi watatu
Bukayo Saka
“I feel like a lot of games I’m facing a double team with two guys on me and it’s the same for Gabi (Martinelli). It’s happening in every game. I keep watching all my games back trying to find a solution, what I can do better.'' [@sr_collings]
Sijui ila sisi liver ndo tumewaweka nyie kileleniNani mwingine alitutishia anakujA?
Nyie uwezo mnao?Bado haujasema Mkuu...😅
Najua unatamani nawe upigwe na kaubaridi ka huku kileleni lakini ndiyo timu yako haina uwezo.
Safari hii hatushuki hapo Juu
Kwahiyo anataka akimbie aachwe tu asikabweBukayo Saka amefunguka ,hili Jambo limekuwa likitokea ,wanakabwa na watu Hadi watatu
Bukayo Saka
“I feel like a lot of games I’m facing a double team with two guys on me and it’s the same for Gabi (Martinelli). It’s happening in every game. I keep watching all my games back trying to find a solution, what I can do better.'' [@sr_collings]
Uwezo tunao Mkuu ndiyo maana tupo pale Juu kileleni 🤗Nyie uwezo mnao?
Mnasubiri tuwasaidie draw ili make kileleni
Hilo kuti kavu linadondoka
Tupo pale😂
Unadhani bila Liverpool kuwafunga man city,ungekaa pale juu wewe?Uwezo tunao Mkuu ndiyo maana tupo pale Juu kileleni
Nina ofa yako ya Jersey ya Arsenal, nipe maelekezo nikupe
Hahahaha.............mwaka huu una mzuka sana na timu yako, sijui ile partnership ya akina Salah ndiyo inakupa kiburi 🤪Unadhani bila Liverpool kuwafunga man city,ungekaa pale juu wewe?
Wazee wa ngekewa
Ila bado nyie ni wasindikizaji tu
Nipe kwanza uzi Liverpool Mkuu
Hata wa Arse8 siyo mbaya mi navaa tu..
Tena ile old version unyama ni mwingi sana
Wanakabwa na mabeki watatu watatuKwahiyo anataka akimbie aachwe tu asikabwe
Kwani anacheza pekeyake?
Ramsdale part II
Huyu jamaa chanzo chake ni chakuaminikaThere are many people inside Osimhen’s camp pushing him towards Chelsea, but the player is becoming increasingly fascinated by the prospect of working with Mikel Arteta and sees himself as a cornerstone piece of the Arsenal project, per source.
Aende Chelsea🤠🤠...sisi hatubebwi na mtu...tunabebwa na system...wasije wakatuletea matatizo kwny klabu yetu maana mchezaji mkianza kumgombea sana na akawa na akili mbilimbili anaanza kujiona keki...tulishatoka huko kwny kubembeleza watu wabadili mawazo Yao kuja kwetu....it's either tukikufata na ww uwe unatamani kuja kwetu au kama unataka nguvu ya pesa itumike basi hutufai🤠🤠There are many people inside Osimhen’s camp pushing him towards Chelsea, but the player is becoming increasingly fascinated by the prospect of working with Mikel Arteta and sees himself as a cornerstone piece of the Arsenal project, per source.
Ngoja tuone tutapata yupi, maana taarifa zinasema anaetakiwa ni natural number 9 wa kuscore sio false 9Huyu jamaa chanzo chake ni chakuaminika
Kilichopo kwa sasa ni kusikiliza msimamo wake ni upi maana Arsenal haipo tayari kuingia kwenye bidding war na Kenge za darajani, inabidi afanye maamuzi kama ilivyokua kwa Declan RiceAende Chelsea...sisi hatubebwi na mtu...tunabebwa na system...wasije wakatuletea matatizo kwny klabu yetu maana mchezaji mkianza kumgombea sana na akawa na akili mbilimbili anaanza kujiona keki...tulishatoka huko kwny kubembeleza watu wabadili mawazo Yao kuja kwetu....it's either tukikufata na ww uwe unatamani kuja kwetu au kama unataka nguvu ya pesa itumike basi hutufai
Ujue Kuna scenario zinasemwa na Zina logic , Ødegaard anatakiwa kucheza LCM , Smith Rowe acheze RCM, Kuna mechi Smith alicheza RCM waliivana sana na Saka,Saka ana akili sana ila hapa kaongea nini sasa? Yaani ndiyo sasa hivi anagundua hilo? Mbona kila mtu alishaona hilo tangu zamani? Au kina Ode na bunny blanco walivyokuwa wanampa support na overlap za kuepuka hizo double markings alikuwa anaona kama ni zali tu zinatokea?
Yah Arteta anataka natural no.9Ngoja tuone tutapata yupi, maana taarifa zinasema anaetakiwa ni natural number 9 wa kuscore sio false 9
True ,nasikia kambi yake na watu wake wakaribu hasa kina obi Mikel ndio wanafosi aende Chelsea ,sasa sidhani Kama yupo tayari akagombee kushuka darajaKilichopo kwa sasa ni kusikiliza msimamo wake ni upi maana Arsenal haipo tayari kuingia kwenye bidding war na Kenge za darajani, inabidi afanye maamuzi kama ilivyokua kwa Declan Rice
Kambi ishaahidiwa mapesa ya kutosha na tajiri miluzi ndo maana...waafrika njaa inatusumbua sana na yy akisema acheki mzigo wa watu wanaomtegemea kuna asilimia kubwa akaona Bora aende kuvuta mavumba ya kutosha huku na mawakala nao wakilamba dau nono...mm binafsi bidding war na Chelsea siitaki maana wao hawatumii akili🤠🤠...wanaenda tu...papai la 2000 wanaweza kulinunua kwa 20000....hawana akili kabisaTrue ,nasikia kambi yake na watu wake wakaribu hasa kina obi Mikel ndio wanafosi aende Chelsea ,sasa sidhani Kama yupo tayari akagombee kushuka daraja