Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal mnapiga mark time halafu mnajipongeza. Arteta hatawapeleka popote ukilinganisha na Unai walau angewaweka top 4 na kucheza final ya Europa.

Kwa msiofahamu ni kwamba mnamzidi Villa point 2 tu! Halafu hamis77 anawadanganya kuwa arteta ni top coach kuliko Unai.
 
Usilie basi.. Kama mnaona anawafaa mngemchukua nyie akaifundishe timu yenu mbovu.
 
Muda wa kukaba mbwa wetu ndo huu,

Siwez kukubali team yangu pendwa ushike daraja, nazitaka pointi tatu leo dhidi ya Nyumbu
 

Remember, no international break til March 2024.
 
Sasa kama sisi vinara inabidi tuhofie kwakua tumemzidi villa points mbili hao walio chini yetu wafanyaje?

Nyinyi ambao hamuwezi kumfikia villa mfanyeje?
 
Ni kweli Arsenal imemzidi Aston Villa ya Unai Emery kwa alama 2 tu, vipi wewe uliye na Kocha wa Viwango na timu nzuri kuliko anayofundisha Arteta ya Arsenal vipi umemzidi huyo Aston Villa Point ngapi?

Kwa taarifa yako, tembo ameshakaa Juu mtini, hashuki awamu hii
 
Nusu achome kibanda Ile siku ya game, Hadi nikakukumbuka unavyosema dakika zake za kujitoa akili
Brentford walivyo na mateke dawa yao wapate mvuta bangi
Mshukuruni mwamba ,kichaa chake kimewaokoa


Zile dakika zake mbili tatu za wazimu mngelala na viatu
 
Unai simngemchukua nyie

Form uchwara imeshawadanganyeni mnaanza kujazana humu

Mpaka round ya kwanza inaisha nitakuwa nimekuacha gepu la point 10+

Kama unabisha Rudi hapa after GW 19


Manjesta naijua kuliko nyie mashabiki uchwara ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…