Maana yake anaweza kucheza game dhidi ya Brentford kwa sababu hatokua mchezaji wa mkopo tena.Safi
Raya kwa £27m
Rambo tunaenda kum-push kwa £60m Kule unyumbuni
Daaah hiyo ni direct attack kwa ramsdaleMaana yake anaweza kucheza game dhidi ya Brentford kwa sababu hatokua mchezaji wa mkopo tena.
Good news🚨 BREAKING NEWS:
Arsenal have decided to keep David Raya permanently. The £27m option-to-buy WILL be triggered in 2024. 🇪🇸
Raya has already signed a potential long-term deal. ✍️
Reports, FabrizioRomano.
Arsenal🔴View attachment 2822599
Jurrien Timber was very emotional in his last interview
I cried every match day that am not in the game helping my teammates.. but one thing is sure; am coming back stronger than I was
Timber on 1 and 2.View attachment 2822886
G Jesus si yuko fit? Huenda akaanza yeye badala ya Trossard
Sahihi kabisa, partey ni abaki ili anaekuja tumuone anaingiaje kwenye mfumo.Hao watakaokuja hatuna uhakika 100% kuwa watafanya vyema kama yeye, ndo umuhimu wa yeye kuwepo na pancha zake angalau tuwe na lile tumaini japo kidogo.
Huyo Partey kiwete mumuuze uarabuniQuality ya kwanza ya mchezaji muhimu kwny kikosi ni availability yake...ukiwa available mara kwa mara utapata game time ya kutosha na kuna asilimia kubwa utatoa Kila ambacho kinatarajiwa kwa sababu unapata uzoefu ukiwa unacheza mara kwa mara.....Sasa Partey ni mchezaji muhimu ila anatu cost kwa pancha zake....mifano ya mechi alizo tucost nimeitoa....unakaa kujiuliza ikitokea siku Rice naye kaumia si ndo mnarudi hatua 10 nyuma....aende aje mwingine atakayekuwa injury free....Partey majeruhi yake is too much aisee
Sisi mbona tuliuza Ngolo Kante na Kovacic ?, jitu likishaanza kula pancha uzaQuality ya kwanza ya mchezaji muhimu kwny kikosi ni availability yake...ukiwa available mara kwa mara utapata game time ya kutosha na kuna asilimia kubwa utatoa Kila ambacho kinatarajiwa kwa sababu unapata uzoefu ukiwa unacheza mara kwa mara.....Sasa Partey ni mchezaji muhimu ila anatu cost kwa pancha zake....mifano ya mechi alizo tucost nimeitoa....unakaa kujiuliza ikitokea siku Rice naye kaumia si ndo mnarudi hatua 10 nyuma....aende aje mwingine atakayekuwa injury free....Partey majeruhi yake is too much aisee
Wachezaji kutoka Japan huwa wako strong Halafu technically goodArsenal are set to open contract talks with Takehiro Tomiyasu very soon, after the recent interest from Bayern Munich.
The defender is seen as a very important part of Mikel Arteta’s future plans and the club do not want to let him go, for any price, any time soon.View attachment 2822885
Soon Brentford litakua tawi letu..Rasmi David Raya Sasa ni mwanafamilia wa Arsenal,amesaini mkataba mrefu
Arsenal imewajulisha Brentford kuwa mwakani 2024 wata trigger kipengere Cha buy option Cha €30m(£27m)
Brentford walikubali ili Arsenal iwe kwenye mazingira mazuri ya FFP.
Habari nyingine ,Bodi ya Arsenal na Benchi la ufundi kwa pamoja wamekubaliana Douglas Luiz ndiye chaguo la kwanza January, Astonivilla Wanaweka ngumu, Lakini Arsenal watapush deal hilo, Kipaumbele Cha kwanza Ni eneo la Kiungo .
Ivan Toney anapendelea Zaid kujiunga na Arsenal kuliko Chelsea ,kikwazo Cha Arsenal Ni FFP labda dili la mkopo.
Kutokana na mahusihano mazuri ya Arsenal na Brentford,ambapo Arsenal wamekuwa waaminifu na kuwajulisha Jana kuwa wata trigger kipengere Cha kumnunua David Raya moja kwa moja , Wachambuzi wa soka wanaonelea Arsenal inaweza kufanya biashara tena na Brentford ya mkopo kwa Ivan Toney na kiasi kingine Cha Fedha kitumike kununua kiungo .
View attachment 2823323
Taarifa ya Vieira kutolewa kwa mkopo imekaaje?Declan Rice najisikia aibu uwanja mzima wa Emirates wanaponiimba " Rice, Rice baby: "
"Najisikia aibu wakati fulani, kusema kweli. Watu 60,000 wananiimba.
Lakini, ni wazi kwamba najihisi uungwaji mkono na upendo kutoka kwa mashabiki wa Arsenal ."View attachment 2823348