Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu tutajie ndani ya miaka 25 ilopita mna makombe mangapi ya EPL🤠🤠...mnatupigia kelele humu tuna Nyunyez sijui...Salah...sijui Firmino kipindi kile mara Mane...lakini mna kombe moja la EPL kwa miaka almost 25
 
Anza wewe trace mwaka ambao kikos chako kilikua fit ndani ya miaka 20(2 decades) utaje kombe mliochukua tuanze hapo kwanza.

Tutajie tena mwaka gani hamkuchukua kikombe kutokana injuries.
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.
 
Shabiki la manyumbu linapojifanya shabiki la Newcastle, msimu huu ndio mwisho wako kulopoka humu, we're coming for the kill.
 
Wkend hii waitumie vizuri ndugu zangu KENGE GANG
 

Attachments

  • 1692870052010.jpg
    51.7 KB · Views: 10
Nyie kondoo mnafurahia City apate majanga y kushuka daraja mnafikiri hata mna ubavu wa kubeba huo ubingwa.

Mkitaka ubingwa ombeeni labda na liva ashushwe daraja, ndio njia pekee y nyie kubaba ubingwa.

Hata liva nae akishushwa, mlivyo fungu la kukosa na bado mnaweza mkaukosa. Nyie ni nani? Semeni nyie ni kondoo
 
Mbona husemi kwmba nyny ndo mtaubeba😀😀
 
😁😁😁 ndo kai kafika na huku pia, watakaoangalia game hii mtatupa kai katumikaje hapo.

Kai Havertz will plays as a left-back against Turkey this evening. When in possession of the ball, the Arsenal midfielder is supposed to interpret his role in a very offensive way. [@kerry_hau
 
Nasikia Timber ameanza mazoezi mepesi
January mwisho anarudi
Uhakika zaidi February
 
Kai dakika ya 5, kawaweka goal
 
Tukiwa bado tunavutana Kai anafaa kucheza nafasi ipi jana Kai kachezeshwa kama beki wa kushoto dhidi ya Uturuki.

Na akascore.
 
Hao wanyang'anywe kabisa kila title waliyoshinda huku wamebreach FFP halafu wampe hiyo title aliyekuwa wa pili kama huyo wa pili hakubreach hizo rules. Wakikuta wa pili naye alibreach, waende kwa wa tatu na waendelee hivyo
 
Mbona Mamacita amefuatiliwa miaka mingi tu na hajawahi kuadhibiwa? Si wanakutwaga bila hatia kila mara?
 
Unakataa kabisa kuelewa sisi huwa tunasema nini. Tulianguka. Tumeamka. Hata nyie imewatokea. Liverpool pia.
 
Watu wamsemi humu kama Havertz kasababisha penalty jana. Kinachoongelewa ni kufunga tu, ukiliona hilo goli lenyewe sasa!😅🙌
 
Usisahau ile UEFA Cup Winners Cup yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…