Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Kwa midomo hii nawapa laanaKuna makocha na aina flani ya wachezaji wa kubeba UCL. Sio Arteta na mbarara zake.
Nimesamehe mkuuNisamehe Mkuu, nimefuta kauli. Nakuheshimu Mkuu.
Ishu ya City hua inaibuka baadae unazimaRelegation now looks a very real prospect for Manchester United’s rivals Man City and Chelsea!
Everton’s 10 point deduction was for a single breach of Premier League rules, while City have been charged with 115 alleged breaches.
Given the sanction handed out to Everton, the threat of a 30-point deduction or automatic relegation from the Premier League would look to be very real for both City and Chelsea should charges be proven in an independent regulatory commission.
[@TimesSport]
Huu msimu tuna timu ya kuchukua makombe yote mawili EPL & UCL tukiwa injury free na tuki reinforce sajili za January. Naliona kombe moja hivi ila mawili yanawezekana, fainali flani UCL ambayo tunampiga City kiroho mbaya itakuwa unyama sana bamdogo.
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.FALSE HOPE ! Kwamba injury free , mbona visingizio vingi sana. Timu zote zinapata injuries so injury ni constant value, huwezi kusema nimekosa ubingwa kisa injuries.
Kuna mtu anaonyesha last season arsenal after 12 games alikua na point 30 halafu this season man city ana point 28 after 12 games sasa sijui anataka kuwapa false hope gani waumini, anasahau kwamba pamoja na point 30 lakini alitoka trophyless
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.Nilishakujibu hili au hukuelewa nirudie ? Soma tena kile nilichokiandikaView attachment 2817013
Kwa hisani ya GORDON na kilio cha arteta
Everton wafuatilie bhana wasizame peke yao.. Sisi huku tuendelee kuongeza popcorn 🍿😁Kwa mujibu wa sheria ya FFP Vilabu vinaruhusiwa kupoteza £105m kwa miaka 3, na Everton walipoteza £124.5m
Kwahiyo Everton alivuka £20m zaidi
Mancity na Chelsea wamefanya zaidi ya hayo ,Everton wamesema watafatilia haki itendeke kote
Mwisho wa msimu mkachukua kombeMsimu uliopita muda kama huu ARSENAL mlikuwa mnaongoza league na Mlikuwa mmeshatuacha LIVERPOOL kwa Point 15.View attachment 2817043
Trace mwaka ambao kikosi chako chote kilikua fit. Kisha taja kikombe mlichochukua.
Wenye mafanikio huwa hawapigi kelele, Ila wale wenye nacho kidogo ndio huwa wanapenda kitambulika kwamba wanacho. Mfano mzuri ni Arsenal wanajiita ni timu kubwa na Mashabiki wake ni wapiga kelele mno lakini timu yao tangu ianzishwe haina UEFA wala EUROPA na Mara yao ya mwisho kubeba EPL ilikuwa 2003/04.Hawa false hopes unajua wanachekesha sana yaani fun fact ni kwamba arsenal last year tu ndo kaingia top 4.
Technically arsenal sio top 4 team kutokana na ukiangalia recently ndani ya seasons 7 kaingia top 4 mara 1 tu .
Ndani ya hio season 7 hali ilikua hivi
1: season 2016/ 2017 - nafasi ya 5
2: season 2017/2018- nafasi ya 6
3: season 2018/2019- nafasi ya 5
4: season 2019/2020 - nafasi ya 8
5: season 2020/2021- nafasi ya 8
6: season 2021/2022- nafasi ya 5
Sasa utakuta false hopers humu wanabeza chelsea, Tottenham na Newcastle hasa hasa totte wakiwa pale top 4 kama kipindi hiki utasikia huyo Tottenham au Newcastle watarudi walipotokea utadhani Arsenal ndani ya top 4 kwa misimu 7 recently alikuepo hapo , yaani kuingia last season tu wamejipa hati miliki ya top 4