Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanafata wao na Chelsea

Financial advisor

Chelsea and Man City look set to face RELEGATION from the Premier League after Everton's 10-point deduction if they are found guilty of breaking FFP rules




Everton kukatwa point wanasema wameanza nae ili wafatie Chelsea na mancity ambao adhabu zao Ni kwenda championship
 
Kuna Kenge moja iliambiwa na Will Jr kuhusu Roman alivyohonga pesa kwa wakala ili hazard asiende Arsenal aliyokuwa ameichagua ikawa inaropoka,

Kuna madudu mengi

Week hii kumekuwa na shinikizo baada ya ushahidi mwingi kupatikana


Chelsea wanaweza kumkata point 12 au kushushwa daraja

Mancity anashushwa daraja
 
Huu msimu tuna timu ya kuchukua makombe yote mawili EPL & UCL tukiwa injury free na tuki reinforce sajili za January. Naliona kombe moja hivi ila mawili yanawezekana, fainali flani UCL ambayo tunampiga City kiroho mbaya itakuwa unyama sana bamdogo.
 
Hii ni serious?
 
Hii ni serious?
Yah ,Chelsea anaweza kuponea kukatwa point , mancity anashushwa madaraja ya chini


Moja ya Statement ya Everton waliyotoa jioni hii wanasema

Klabu pia itafuatilia kwa hamu kubwa maamuzi yaliyotolewa katika kesi nyingine zinazohusu Kanuni za Faida na Uendelevu za Ligi Kuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…