Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nitakuja kudai hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utashushia na cake
I am a professional baker..

Japo vyote najua hutovipata maana zile dakika mbili ambazo Ramsdale anapandwa na wazimu,hamtoboi😂😂
 
Attachments

  • IMG_20230317_133330.jpg
    59.8 KB · Views: 15
Utashushia na cake
I am a professional baker..

Japo vyote najua hutovipata maana zile dakika mbili ambazo Ramsdale anapandwa na wazimu,hamtoboi[emoji23][emoji23]
Mama mbona Rambo umemuandama Sana leo? Onana la unyumbuni haulioni?

Angekua mchezaji wa bongo, ningesema huu ungomvi wa wanaoitana x[emoji1][emoji1]
 
Mama mbona Rambo umemuandama Sana leo? Onana la unyumbuni haulioni?

Angekua mchezaji wa bongo, ningesema huu ungomvi wa wanaoitana x[emoji1][emoji1]
Siyo mimi🤣
Ni Hamis aliweka hapa maneno ya Golikipa wenu

Kama huna habari ni kwamba Alisema mkimlazimisha aconcentrante dakika zote 90 uwanjani mtakuwa mmemaliza..hawezi😂
Anasema huwa ana dakika 2 _3 za wazimu kupanda kichwani kwake🤣

Unadhani mtatoboa hapo?🤣🤣🤣🤣
 
Technical analysis hamis77 , namuamini, yupo vizuri Sana. Kama ameongea hivyo kuhusu Rambo means hakua na mihemko

Ila kutoboa tuna toboa vizuri tu, Raya takin over
Fanya orange[emoji41]
 
Technical analysis hamis77 , namuamini, yupo vizuri Sana. Kama ameongea hivyo kuhusu Rambo means hakua na mihemko

Ila kutoboa tuna toboa vizuri tu, Raya takin over
Fanya orange[emoji41]
Hukuona?
Mmekwisha 😂

Kwa kukusaidia tu,
Ngoja nikuwekee

Aaron Ramsdale: "If you ask me to concentrate on a game of football for 90 minutes? I'm finished. I can't do it."

"That's why I get involved with the fans and I'll sing along with the songs. If someone is giving me abuse, i'll turn round and give them a bit back."

"I've had my 2-3 minutes of madness in my head and then straight back to the football.... I've got my 10/15 minutes of pure concentration again."

"Next thing you know, half time is around." (Budweiser)
 
Daah kumbe Rambo ndio zake hizi,

Yupo uwanjani yupo na majukwaani kujibu mashabiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo laini sana[emoji23]

Ama na wewe mwepesi kama mshkaji wenu Ramsdale anayekunywa Fanta Orange
Kukikucha saa 6 Nina appointment, siwez kupiga nzito nzito [emoji41]
siku ikifika ya arsenal NDOO ntaanza na fanta orange yangu kwanza alafu hiyo show itakayofata[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kukikucha saa 6 Nina appointment, siwez kupiga nzito nzito [emoji41]
siku ikifika ya arsenal NDOO ntaanza na fanta orange yangu kwanza alafu hiyo show itakayofata[emoji91][emoji91][emoji91]
Rekebisha hapo
Arse8 kondoo
 
Wana magolikipa timamu

Ni arse8 tu ndio ana Golikipa anayepandwa na wazimu uwanjani[emoji23]
Achilia mbali wale nyumbu ambao kipa wao hana mikono[emoji1787]
Kipa wa unyumbuni ni Nini,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
flano na genge lake wakikusikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wana magolikipa timamu

Ni arse8 tu ndio ana Golikipa anayepandwa na wazimu uwanjani[emoji23]
Achilia mbali wale nyumbu ambao kipa wao hana mikono[emoji1787]
Kipa wa arsenal tunaemtambua ni Raya ambae ata kiungo anacheza kwa kiwango kilekile
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…