Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakini timu iko nafasi ya 6 na inazidiwa pointi 6 na arsenal iliyo na nketiah mwenye hatrick.
Manjesta hizi point mlizonazo Ni mechi mlizoshinda ,bado Kuna vipigo vingi na droo vinakuja

Naiona manjesta ikishika nafasi za 7-10

Kama unabisha ,njoo tuwekane sawa hoja kwa hoja
 
Hater unaumia ukiwa wapi?
 
Arsenal are ready to hijack Newcastle’s move for Ruben Neves. Arsenal’s sporting director Edu is known to be a long-term admirer of former Wolves star Neves.

[@alex_crook]
 
Premier League clubs are expected to vote next week in favour of a block on clubs loaning players from within their own ownership group. The change in regulations could benefit Arsenal, who've have made bolstering their midfield a priority with Partey ruled out for a while.
Arsenal are ready to hijack Newcastle’s move for Ruben Neves. Arsenal’s sporting director Edu is known to be a long-term admirer of former Wolves star Neves.

[@alex_crook]
 
Ruben Neves

Anatakiwa na Newcastle

Wiki ijayo Vilabu vya EPL vitapiga kula kuzuia mikopo ya Vilabu vyenye same ownership, dalili inaonesha hiyo Sheria itapita

Maana hiyo Newcastle watakuwa out of the race ,

Arsenal wanamtaka Ruben Neves kwa mkopo ana miaka 26

Ni moja ya wachezaji ambao Mikel alimuhitaji kuziba nafasi ya Xhaka Kama angeelekea AS Roma mwaka Jana.

Douglas Luiz , kumpata kwa January kama itakuwa ngumu Basi Option Ni Ruben Neves mpiga mawe
 
Ruben Neves can play both 6 and 8, I don’t think there will be a better deal in January for us.

It’s very low risk and high reward. I’ve seen reports that say Al-Hilal could even be open to an option to buy.

Let’s not forget he was on the verge of joining Barcelona last year.
 
Ramsdale’s time at Arsenal is well and truly over.

Pack your bags and leave in January.

One thing I know Arteta dislikes is someone that runs his mouth to the media
 
Ramsdale’s time at Arsenal is well and truly over.

Pack your bags and leave in January.

One thing I know Arteta dislikes is someone that runs his mouth to the media
Waingereza hawa ukiwaendekeza wanakuharibia timu.

Kama huyu anajiona kama club ni yake, yeye nani asikae benchi.

Yani asidake kipa mzuri adake yeye kisa alikua sehemu ya project.. Hii sio shida yetu fans, he has to improve his game.
 
vijana wahuni
 
Na mtakoma
Benchi hakai
Na akidaka lazima apate dakika 2,3 za kupooza njaa kikipanda kichaa
 
Attachments

  • JamiiForums1421145641.jpeg
    55.2 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…