Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hamuwezi kumfunga city timu inaruhusu Sana nafasi

Nyie miaka 8 mnafukuzana na pep mmeambulia 1,

Subiri sisi tuanze kumpika ,vijana washakomaa
Nyie mara ya mwisho kupata EPL kombe ilikuwa lini?

Lini mliambulia kikombe hicho?
akiyanani
Nacheka kama mazuri

Toka mwanangu anazaliwa,amemaliza chuo mwaka huu,Arse8 hawana EPL.


Subiri uone tunavyomchakaza huyo Pep unayemuogopa...kumbukeni hatuna mababu kwenye timu,,,Kuna vijana wahuni wanafyatuka kama mashine.
 
Ashasema kila baada ya dakika kadhaa kichaa kinampanda kichwani🤣
Nyie mnamlazimisha asigive up 😂😂😂😂😂
 
Kuna goli alitunguliwaga...tulikuwa tunashambuliwa ghafla kuna kama kamnyama kakawa kanapita nyuma ya goli...Rambo akageuka kukaangalia halafu akarudi tena mchezoni...kilichofata ni goli baada ya hapo🤠🤠🤠...jamaa ni golie mzuri sema huwa ana wenge flani hvi hasahasa tukikutana na timu zinazopiga msako
 
A
Ww walivyokutembelea hao mabroo pale kwny matofali ya kuchoma nn kilitokea🤠🤠🤠....mashabiki wa Manunu na Chelkenge mnapata wapi nguvu ya kukaza nzi hmu wakati nyny wte ni pipa na mfuniko
 
Nyie mmekaa miaka 30,

Kwasasa tupo kishindani haswa

Sare itapendeza ,ila sijui Kama mtaipata
 
Nyie mmekaa miaka 30,

Kwasasa tupo kishindani haswa

Sare itapendeza ,ila sijui Kama mtaipata
Nimeuliza nyie mlichukua lini?

Sisi tumechukua 2020.
Hiyo miaka 30 sasa ni yako,,,

Hebu onyesha kikombe Chenu kuanzia mwaka 2015 hadi sasa
 
A town, nina ndoto za kuishi A town .. karibu sana mjini uone tunavyowagonga
Mjini ndio makazi ,nipo A town kikaz, hiyo mechi nitakuwa town ,

Moja ya ajenda zetu ilikuwa kumpiga city tukafanikiwa mara 2, nyingine kushinda away kwa Everton, tumefanikiwa ,

Imebaki, kubeba point uwanjani kwenu
 
Mjini ndio makazi ,nipo A town kikaz, hiyo mechi nitakuwa town ,

Moja ya ajenda zetu ilikuwa kumpiga city tukafanikiwa mara 2, nyingine kushinda away kwa Everton, tumefanikiwa ,

Imebaki, kubeba point uwanjani kwenu
Oh kumbe!
Nipe deal hizo za A town Mkuu,, Mimi napishana nazo sana wakati ni mji ninaoupenda sana.


Sisi ajenda zenu hatuzijui
Tunachotaka sisi ni kuona kikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…