Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Kwaiyo wanahis anaweza asiwe na Injury alfu Arsenal waaimtumie maksudi ama?EXC
Gabriel Jesus amesafiri hadi Brazil kwa majukumu ya timu ya taifa.
Chini ya sheria za FIFA, nchi zina haki ya kutathmini wachezaji wenyewe - na Brazil imetumia kipengere hicho kufanya hivyo.
Ikumbukwe wiki kulikuwa na mvutano Kati ya Arsenal na chama cha soka Cha Brazil,Arsenal wakisisitiza Jesus ana injury ,Brazil wakisema wanaomba wahakikishe wenyewe .
Asiwe na haraka bado mapema sana ??raya ni mzuri kwenye kudaka + footwork ila siku zinavozidi kwenda naona ramsdale confidence inapotea ukilinganisha na press ya southgate naona January ramsdale anaeza timuka, japokua arteta anasema asiwe na haraka bado mapema sana
Uwe makini kwenye counter AttackBrentford lazima tumfunge, itakuwa matumizi mabaya ya fursa tukidondosha point kwake.
Sisi tunamfunga goli moja tu halafu ndo hlohlo tunashinda mechi...ila wa kumdunda nyingi huwa Chelkenge..tunamdunda za kutosha na point 3 tunachukua🤠🤠...sijui nimekujibu swali lako vzuri au bdoMi nachojua tumefunga goli nne ila tumedroo, ndio nauliza kumfunga goli nne man city nyie mnaweza? Au ndio story zenu za kuovalod na duel win. Kondoo nyie
ACha kudanganya hizi kondoo, yaani kwamba asiwauzie kw kujutia kuwauzia Jesus mchezaji wa wodini, tena anafurahi kuwapga za uso.Kwasasa kutuuzia Arsenal nasikia wamegoma kabisa
Au sioACha kudanganya hizi kondoo, yaani kwamba asiwauzie kw kujutia kuwauzia Jesus mchezaji wa wodini, tena anafurahi kuwapga za uso.
Umemdunda nani nyingi? Umeshasahau kwa muda mfupi hivi? Uliponea kwnye tundu la sindano.Sisi tunamfunga goli moja tu halafu ndo hlohlo tunashinda mechi...ila wa kumdunda nyingi huwa Chelkenge..tunamdunda za kutosha na point 3 tunachukua🤠🤠...sijui nimekujibu swali lako vzuri au bdo
Kuna vitu vingine tusiongee kishabiki🤠🤠...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake🤠🤠ACha kudanganya hizi kondoo, yaani kwamba asiwauzie kw kujutia kuwauzia Jesus mchezaji wa wodini, tena anafurahi kuwapga za uso.
Tupia picha za mwaka jana pia tulipokutana🤠🤠Umemdunda nani nyingi? Umeshasahau kwa muda mfupi hivi? Uliponea kwnye tundu la sindano.
View attachment 2812841
Fild tiltUmemdunda nani nyingi? Umeshasahau kwa muda mfupi hivi? Uliponea kwnye tundu la sindano.
View attachment 2812841
Huyo ngumbaru hawezi kuelewaKuna vitu vingine tusiongee kishabiki...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake
Tupia na y Arsenal Vs Newcastle, tujifunze na sisi jins ya kuisoma.
Umesahau na msimamo wa LigiTupia na y Arsenal Vs Newcastle, tujifunze na sisi jins ya kuisoma.
Waache kuwauzia waharabu wanaotoa mijihela waje wawauzie nyie kondoo mmezoea wachezaji wa afu tatu. halafu mnajidanganya kuwa eti wanaogopa kuwauzia wachezaji, Kwa lipi hasa?? kwamba mnaweza kuchukua ubingwa au?? Aisee nyie ni kondoo.Kuna vitu vingine tusiongee kishabiki🤠🤠...Kipara sasahv ni wazi hataki kufanya biashara na sisi tena...Laporte tulimtaka wakakataa na kumuuza huko kwa waarabu....ukitaka kuelewa tunachozingumzia cheki ule msimamo wa ligi...wale wa 3 wa juu hawauziani tena wachezaji ila atawauzia nyie wa kuanzia na nafasi ya 7 huko chini maana hamna madhara kwake🤠🤠
Kwani hata nyie mna madhara gani? hata mkiachwa muongoze ligi nyie ni loosers. Acheni kudanganyana eti city ataogopa kuwauzia mchezaji.Huyo ngumbaru hawezi kuelewa
Tulimtaka Cancelo ,Laporte ,Taarifa zikatoka hawawez kufanya biashara na Arsenal Tena
Kwasasa atawauzia nafas za 10 huko maana hawana madhara
Sema tuna unyama mwingi sana kwenye field tilt
Unaelewa kwanza nini maana yake, au unalopoka sababu umekuja humu kulopoka?Tupia na y Arsenal Vs Newcastle, tujifunze na sisi jins ya kuisoma.
Naomba na ya Newcastle vs Kondoo. Seriously kuna jambo nataka nijifunze.Sema tuna unyama mwingi sana kwenye field tilt
Everton ya sean Dyche lazima wafe naye, akishituka Galatasary hawa hapa na walishambonda 1st leg OT, akitoka hapo Newcastle wale pale, paka boxing day mashabiki utaona mabango juu.Anawadanganya na form uchwara
Anapigwa gemu 2 anashinda 1 , anafanya hiyo circle ,kwahiyo ngumu kufukuzwa ,
Wakija kushtuka wanapigania kucheza europa