Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Points against the top 6 this season:

Arsenal: 8 (Played City, United, Chelsea, Tottenham)

Tottenham: 7 (Played Arsenal, United, Liverpool, Chelsea)

Chelsea: 6 (Played City, Liverpool, Arsenal, Tottenham)

Manchester City: 4 (Played Arsenal, United, Chelsea)

Liverpool: 1 (Played Tottenham and Chelsea)

Manchester United: 0 (Played Arsenal, Tottenham, City).
 
Upo sahihi ,kocha pale hatuna
Naungana nanyi. Montemurro alikuwa anapigisha boli na results tunapata. Miedema alikuwa anafunga mpaka anachoka. Anaassist mpaka anachoka. Kaja Eidevall na naona kama kashindwa kuvaa viatu vya Joe vilivyo. Nadhani injuries za Miedema na kuhamishwa position kwake pamoja na injuries kwa Mead na wengine pia imechangia, ukiachana na kocha. Pia ikumbukwe kuwa wanawake wanateseka zaidi na injuries kwa sababu ya vitu vidogo dogo kama viatu bado havijapatiwa design inayofaa miguu ya kike, misuli yao ina recovery time tofauti na ya kiume, etc. All in all, tupate kocha. Labda yule wa Barca
 
Naona pia tuna trend ya kukusanya akina Gabriel na Martin
Gabriel Jesus
Gabriel
William Saliba Gabriel
Martin Odegaard
David Raya Martin
mpaka hata kuna Gabriel Martinelli. Sijui tumeona siri gani kwenye haya majina
 
EXC

Gabriel Jesus amesafiri hadi Brazil kwa majukumu ya timu ya taifa.

Chini ya sheria za FIFA, nchi zina haki ya kutathmini wachezaji wenyewe - na Brazil imetumia kipengere hicho kufanya hivyo.


Ikumbukwe wiki kulikuwa na mvutano Kati ya Arsenal na chama cha soka Cha Brazil,Arsenal wakisisitiza Jesus ana injury ,Brazil wakisema wanaomba wahakikishe wenyewe .
 
kuna video niliona ilikua kama utani arsenal fans wanaulizwa wamtoe bukayo wapewe mbappe ... wote waligomea deal
 
kama nyumbani sio nyumbani peleka timu santiago au peleka timu anfield unaeza pata matokeo ila kwa challenge sana
 
View attachment 2812554
Dah! Raya hatokuwepo golini dhidi ya Brentford.

Haya, acha tuone Ramsdale alichonacho.
raya ni mzuri kwenye kudaka + footwork ila siku zinavozidi kwenda naona ramsdale confidence inapotea ukilinganisha na press ya southgate naona January ramsdale anaeza timuka, japokua arteta anasema asiwe na haraka bado mapema sana
 
Brentford lazima tumfunge, itakuwa matumizi mabaya ya fursa tukidondosha point kwake.
 
ila kikosi chetu kina watu wanaokupa matokeo naona bado kuna mahali mwalimu anachangamoto
 
Kuna uwezekano United wakafukuza kocha after international break, naona kuna vipigo back to back.
 
Ligi ndio Kama inaenda kuanza
 
raya ni mzuri kwenye kudaka + footwork ila siku zinavozidi kwenda naona ramsdale confidence inapotea ukilinganisha na press ya southgate naona January ramsdale anaeza timuka, japokua arteta anasema asiwe na haraka bado mapema sana
Anauzwa fasta , tupate pesa tuvute kiungo
 
Kwaiyo wanahis anaweza asiwe na Injury alfu Arsenal waaimtumie maksudi ama?
 
raya ni mzuri kwenye kudaka + footwork ila siku zinavozidi kwenda naona ramsdale confidence inapotea ukilinganisha na press ya southgate naona January ramsdale anaeza timuka, japokua arteta anasema asiwe na haraka bado mapema sana
Asiwe na haraka bado mapema sana ??
Arteta ni fala saaana aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…