Isack na Wilson position moja hawapo
Jesus na Nketia position moja hawapo
Mkiambiwa kuna umuhimu wa Versatile player mnaleta maneno mengi
Ode hana umuhimu??
Ben white ???
Jesus???
Partey???
Yani sie hata akiumia Saliba Raya anakamua RCB fresh tu na kinakua kama hakijatokea kitu
Sijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali.
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
Asenyetoz mna midomo sana ,na tunauza mechi leo kwa man city , hatuwezi kuendelea kuwatengenezea Kitonga majitu ya ovyo kama ninyiNarudia tena bwana mdgo inaonekana huelewi...kwa aina ya mpira unayocheza hufiki popote...mpira wa kukimbiakimbia tu Haina nafasi...watarudi hao mabaunsa...wale wapiga viwiko watu na bdo mtaendelea kudundwa kwa sababu mna wachezaji average sana....hivi ile game ya jana kwli kabisa mngetulia mngeshindwa kupata matokeo....nyny mkishashikwa tu msikimbiekimbie kazi inakuwa imekwisha hapo....tunakumbushana tu mkirudi mnaenda kwa PSG kufanyiwa massage upya...Ubaya Ubaya tu
Acha visingizio ,ninyi mechi ya Newcastle mlikandwa Tu ,Hamna cha matatizo ya VAR wala nini , ninyi ni lonyalonya ,siku hiyo mkikutana na vijeba chuma cha mjerumaniUnalalamikia injuries kwa vile vitoto vidogo viko maeneo ya mkiani huko....ndo maana tukasema nyny bdo watoto wadogo sana...leo mnashuka mpk wa nane huko chinichini...mkija kukutana na Chelsea nao watakuwa wanaitaka nafasi yao....
Kwangu mm Fofana all the way...Wachezaji kama hawa wakishaflop ndo baadae wanakuja kukumbuka walikosea step.
Huyu nae atakua mfano mzuri kama ilivyokua kwa akina Thomas Lemar na Houssem Aouar.
Let's move on. Dirisha la January litakua gumu ila ikiwezekana tulete signings kadhaa hasa kwenye eneo la DM.
Douglas Luiz, Aston Villa wakigoma kuuza twende Monaco kwa Youssouf Fofana, tupate na left wing mmoja.
Kule nyuma akisharudi Timber hakutakua na haja ya defender mpya kwa january, coz tuna mabeki wengi wenye quality na hapo wengine hawapati nafasi.
Hebu fikiria kitasa kama Jakub Kiwior anakaa mbao ndefu Arsenal na wakati angekua beki tegemeo Man Utd.
Piga mdomo ila leo mpate matokeo...baada ya hapo mtaenda kucheza na hao vijeba mtoane manundu sisi hayatatuhusu....ila Leo tupo na nyny Sasa ole wenu mkandwe uone tutavyokuja kuwajazia nzi kwny jukwaa LenuAcha visingizio ,ninyi mechi ya Newcastle mlikandwa Tu ,Hamna cha matatizo ya VAR wala nini , ninyi ni lonyalonya ,siku hiyo mkikutana na vijeba chuma cha mjerumani
Swali gumu sana hilo bro. Jamaa kahamia kule msimu tu. Hata kikosi chao Cha last season hakijuiSijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. 😂😂😂
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
Umemuuliza swali gumu Sana ambalo hawezi kulijibu.Sijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. 😂😂😂
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
Anakuambia tuna Gordon...sijui Almiron mara yule mbeba matofali wao mara sijui Guimaraes mzee wa vipepsi...yaani ni kakikundi flani kamekaa kijanjajanja sana....vice captain wakifungwa akiulizwa anasema wana majeruhi wengi as if wale wengine hawana uwezo wa kucheza tena na vitimu vidogo kama BournemouthUmemuuliza swali gumu Sana ambalo hawezi kulijibu.
Huyu Labyrinth 84 Ni kondoo aliyepotea kazi kuzurura tu kwenye majukwaa ya watu na kujimwamba na hicho kitimu chake uchwara Cha nyukesto.
Huwa tunamuimbia kila siku kwamba hiyo Newcastle Ni timu ya kawaida Sana haina maajabu.Ushidi walioupata kimagumashi dhidi ya Arsenal tayari umewakarimu.
Huyu Ni wa kupuuzwa tu.
Acha aendelee kushupaza shingo Yake Lakini ukweli Ni kwamba Newcastle is just a mid table team.Anakuambia tuna Gordon...sijui Almiron mara yule mbeba matofali wao mara sijui Guimaraes mzee wa vipepsi...yaani ni kakikundi flani kamekaa kijanjajanja sana....vice captain wakifungwa akiulizwa anasema wana majeruhi wengi as if wale wengine hawana uwezo wa kucheza tena na vitimu vidogo kama Bournemouth
Anakuambia tuna Gordon...sijui Almiron mara yule mbeba matofali wao mara sijui Guimaraes mzee wa vipepsi...yaani ni kakikundi flani kamekaa kijanjajanja sana....vice captain wakifungwa akiulizwa anasema wana majeruhi wengi as if wale wengine hawana uwezo wa kucheza tena na vitimu vidogo kama Bournemouth
Cheki score808Jamani msaada kwa mwenye kujua link ya kuangalia mechi Live...leo nipo mbali na runinga
Ukimuweka na ST mzuri huyo moto utakaowaka hatariDu uyu Mbwemo anaubonda balaa sanaa
Jamaaa fire sanaaUkimuweka na ST mzuri huyo moto utakaowaka hatari