Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmeshinda kwa papatupapatu kwa Luton tayari ushaanza kuiona top 4



Nyie mnachekesha Sana ,top 4 mnaingia kwa kumtoa nani


Wazee wakuburuza mkia UCL
 
Eti Newcastle ana consistency kuliko Arsenal


Kuna watu wanavuta bangi aisee

Timu inaburuza mkia UCL
 
Eti Newcastle ana consistency kuliko Arsenal


Kuna watu wanavuta bangi aisee

Timu inaburuza mkia UCL
Yaani Hawa Bournemouth wanavyocheza utadhani wao ndo wamefungwa wanatafuta goli la kusawazisha🤠🤠🤠...yle bwana mdgo huwa anatukosea sana kuja kubishana na kaka zake humu ndani
 
Eti Newcastle ana consistency kuliko Arsenal


Kuna watu wanavuta bangi aisee

Timu inaburuza mkia UCL
Hao mbwa ile nguvu walioitumia kwenye game dhidi yetu ni nyingi sana, kwa mtu ambae hua anafuatlia mechi zao sio jambo la kawaida kabisa,
Ile game tu ni kama walicheza game 5 kwa siku moja mpaka leo wapo hoi wachezaji hata game ya,Dortmund walikua hoi kabisa, ndo tatizo la kukamia game za wakubwa rejea game vs Man city nguvu waliyotuma japo walifungwa 1-0 game zilizofuata walipoteza game mbili mfululizo kama hiki hiki juzi wamepoteza na dortmond na leo karudisha chenji
 
Yule forward wao baunsa sijui leo kwann hajacheza angewasaidia🤠🤠...na Bruno naye sijui kwann hajacheza...Man of the Match leo ni kipa wao...maana kawaokoa na aibu ya kipigo cha mbwa koko
 
Ninarudia tena

Nyukesto ni westham yenye hela.

Chura kabisa.

Eti Nyukesto ana consistency kuzidi Arsenal.

Na ole wako ujibu bila kunitag 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…