Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani mechi nzima Wolves anaonekana anatafuta kitu ila kushut ndiyo anaremba, anakuja kushut goli la kwanza.

Anashut tena la pili. Namuangalia kipa wa Spurs anavyoshangaa
Mimi mwenyewe nilijua watashinda hii mechi sema wamechelewa tu kupata ushindi.
 
Yaani mechi nzima Wolves anaonekana anatafuta kitu ila kushut ndiyo anaremba, anakuja kushut goli la kwanza.

Anashut tena la pili. Namuangalia kipa wa Spurs anavyoshangaa
Aisee wale Wolves siku tutakayocheza nao tujiandae....Wana ball carriers wengi sana na Wana physicality ya ajabu🤠🤠🤠..leo Spurs kilichomkuta na ile Angeball Yao hawatasahau
 
Aisee wale Wolves siku tutakayocheza nao tujiandae....Wana ball carriers wengi sana na Wana physicality ya ajabu🤠🤠🤠..leo Spurs kilichomkuta na ile Angeball Yao hawatasahau
Advantage yetu ni kwamba wasiwe na ST wa uhakika kama leo. Pia naamini tunaweza kumiliki mpira kuzidi Spurs, entire time Spurs analazimishwa kucheza kaunta siyo jambo dogo
 
Poa haina noma
 
Sometimes hua unajiuliza ikiwa kocha/ players hawaoni unachoona.

Mfano ishu ya kushut, factors zote zinaonyesha ni hicho tu ndiyo kinahitajika ila utashangaa timu haitekelezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…