Umezitoa wapi hizi habari ,na ukaziaminiKuna rumours za Kai yupo sokoni January kwa 35M
Chelkenge wanachokipata sasa kwa Palmer ndicho walifikiri atakitoa Kai kipindi wanamsajili.
Na manjesta inaburuza mkia UCL nilisahaupia umesahau kusema kua tokea Kai aliposajiliwa sasa hivi Arsenyo inawin duel zote
Huyo Ni mwenzenu ,vichaa kwasasa wanapatikana manjesta ,timu lenu lishawawehushaArsenyo ndio timu inayo ongoza kua na mashabiki wa hovyohovyo duniani, siyo Jf pekee hata ukitembelea blogs na forums za arsenyo huko duniani unakutana na comments kama za kina dada mla mayai mpaka unajiuliza hivi mashabiki wa hii team kweli wana wazazi?
Rice can do defensive man alone. Trust meHii mid itadominatewa kirahisi. Unless kama hujawacheki Burnley wanavyocheza.
Fabio na Kai hakuna wa kuassist kukaba throughout the game.
Notice neno 'Rumours'Umezitoa wapi hizi habari ,na ukaziamini
Kai auzwe,Ni mchezaji muhimu Sana
Wachezaji wanaotajwa kuuzwa Ni
Partey
Ramsdale
Na Smith Rowe kwa mbali
Mmmhhh atakua ana eneo kubwa la kucover.Rice can do defensive man alone. Trust me
Ok, tuweke sawa hii kitu, unachosema ni kwamba Rice akianza pamoja na Luiz basi Luiz atacheza kama #6, si ndivyo?Sijasema hawez ,nimesema Rice Ni LCM mzuri kuliko Luiz,
Ndio maana hata Partey , Jorginho ,ukitaka uwachezeshe na Rice ,uta opt Rice acheze LCM,sababu atakupa mahitaji yote ,tofut na umeweke Jorg au Partey as LCM ,
Umezitoa wapi hizi habari ,na ukaziamini
Kai auzwe,Ni mchezaji muhimu Sana
Wachezaji wanaotajwa kuuzwa Ni
Partey
Ramsdale
Na Smith Rowe kwa mbali
Tukiingia hivyo, means hatatakiwa kupanda Sana mbeleMmmhhh atakua ana eneo kubwa la kucover.
Anyway, kama kocha atafanya hivyo tutaona
Burnley anacheza kumiliki mpira na analenga kudominate, so sioni haja ya kumtest na uwepo wa Kai na Vieira kwenye mid coz kawa na 60+ possession against Palace, Nyumbu na Everton.Tukiingia hivyo, means hatatakiwa kupanda Sana mbele
Kumbuka timu type za Burnley inabidi uwe more offensive
Ukisema lone 6 asiwe anapanda sijui apewe kipande kidogo cha ku cover nakuwa sielewi, sababu moja ya kazi yake ni kuleta structural compactness, timu inapo move naye amove kufanya system iwe compact, in any settled attacks...most ball circulation inafanywa na lone 6, hivyo ni lazima tu apande juu inapohitajika , Guardiola & J20 ni wazito lkn wamefanya hii kazi( make the system compact, circulate the ball as much as possible), sijui nyie mpira huwa mnaangaliaje wenzetu. Kwangu mimi Luiz ni LCM, at villa anacheza upande wa kushoto wa double pivot, Ana uwezo wa kufunga magoli, technically good enough, ball striking, kwanini asicheze lcm, then our best #6 akaendelea ku persist kwenye position inayomsuit best?mpira wa sasa sio about numbers au positions za wachezaji bali ni majukumu
yapi wanayoyafanya uwanjani kulingana
na namna timu inataka icheze dhidi ya mpinzani.
kwa namna arsenal inavocheza ;ni ngumu sana luiz kufanya majukumu ya rice mana inatakiwa ku cover distance kubwa zaidi uwanjani na uwe mzuri zaid kiukabaji.
so.. kama utataka wote waanze.. itabidi luiz agewe kipande kidogo cha uwanja na asiwe anapanda sana juu bali awe anacheza zaidi na beki wawili wa kati.. ila rice anabaki kama anavocheza saivi.. zile panda shuka na kuja kukaba wakti timu inashambuliwa.
Hii idea utaiona kipindi Cha piliBurnley anacheza kumiliki mpira na analenga kudominate, so sioni haja ya kumtest na uwepo wa Kai na Vieira kwenye mid coz kawa na 60+ possession against Palace, Nyumbu na Everton.
It will be interesting kuiona idea yako in action
Hiko kibunda cha hvyo hakipo mkuu🤠🤠🤠....FFP watatafuta sababu ya kupita na ww...napenda zaidi tumpate Fofana na Toney tu...then misimu inayofata ni kufanya usajili wa mchezaji mmoja tu...Partey aondoke na Jorginho...lakini ningependa kuona Elneny akibakiTia Fofana, tia Zubimendi, tia Luiz, tia Toney, watakavyocheza kocha anajua
Mi kuna wakati nafikiri hua kuna kuwa na makubaliano ya siri baina ya vilabu kwenye kuuziana wachezaji, hasa arsenal na Chelsea. Arsenal wamenunua wachezaji wengi tu wa kiaina kutoka ChelseaBro nakuheshimu sana ila hapa unajipa false hopes kabisa
Kai hana improvement yoyote ktk position ya RCM,
yuko slow with the ball or without
hawezi hata kukaba effectively( just imagine una no 8 ambaye yuko poor defensively timu itaelemewa tu in mido)
Pass zake ziko very predictable ( he will always look for simple pass to pass N.B hapa tulitaka awe ana offer hata penetration pass, V- pass)
Inability to make dangerous movement/run( yupo yupo tu )
Hapana my arsenal deserve more quality attacks/defensive mido
Ukisema namchukia Kai unakosea mbona hatumchukii Rice Timber or Raya is so simple because they show quality/something on the pitch bro! Thats all
Mimi inaniuma sana my arsenal tulichoshwa sana na hawa average player its our time to have quality player allover
Just imagine hizo 65m tungempata Frenkie De Jong, Zubimendi, Kovacic, Tchoumen??
Kama mtanipiga kwa ishu ya Kai nipigieni tu ila msiniue .......
Arsenal is so big for Kai, wakati tunamsubiri awake tunazidi kujichelewesha.