Ngoja mkutane na Bayern au Madrid mnyolewe na vigae vya chupaKabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
Na Mimi ndio nawataka haoNgoja mkutane na Bayern au Madrid mnyolewe na vigae vya chupa
Mtajuta kushiriki UEFA
Mtapigwa mchakae ,wale madogo akina vinni na Bellingham watawatoa firigisiNa Mimi ndio nawataka hao
Mark my words usiishi kwa mazoea
Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Labda kama sifatilii mpiraMtapigwa mchakae ,wale madogo akina vinni na Bellingham watawatoa firigisi
tatizo la Arsenal ni wanaweka sana wazi mambo kama haya, unless ni smokescreen tu na kuna actual target mwingine. Mambo kama haya unakaa nayo kimya ili udeal na watu bila kuamiwa na akina tajiri miluzi.Arsenal recruit Declan Rice as long term DM
But maajabu wamekuta mwamba akiwekwa LCM anazima kwa A+
Why anatakiwa Douglas Luiz?
Huyu ni
[emoji599]Passer mzuri
[emoji599]Technical ability kubwa
[emoji599]Press resistance
Ana uwezo wa kucheza lone DM ,kitu ambacho kitamfanya watengeneze combination hatari Sana na Declan Rice alongside Ødegaard.
Bodi ya Arsenal imekubaliana Douglas Luiz ndiye Top Target eneo la Midfield
View attachment 2809696
Bayern masai tu, shida ipo kwa Real Madrid, ukikutana na Real UCL umekutana na babuu, ubishow lazima ukuishe.Ngoja mkutane na Bayern au Madrid mnyolewe na vigae vya chupa
Mtajuta kushiriki UEFA
Luiz ni LCM bro. kwa hiyo unaamini Luiz atacheza DM na Rice acheze LCM? Aje zubi, Luiz or whatever watacheza lcm tu. Kwa sasa huwezi kupata mchezaji anacheza DM kumzidi Declan Rice, hakuna, iko wazi.Arsenal recruit Declan Rice as long term DM
But maajabu wamekuta mwamba akiwekwa LCM anazima kwa A+
Why anatakiwa Douglas Luiz?
Huyu ni
[emoji599]Passer mzuri
[emoji599]Technical ability kubwa
[emoji599]Press resistance
Ana uwezo wa kucheza lone DM ,kitu ambacho kitamfanya watengeneze combination hatari Sana na Declan Rice alongside Ødegaard.
Bodi ya Arsenal imekubaliana Douglas Luiz ndiye Top Target eneo la Midfield
View attachment 2809696
Hivi unaijua Real Madrid ya UEFA lakini we jamaa ?Labda kama sifatilii mpira
Uzuri sidanganywi, Madrid huyu aliyetolewa ulimi nje na Sevilla ,
Kitu Cha kwanza ambacho naamini Madrid hawez ku control mechi mbele ya Arsenal
Same to barcelona
Nisiongee Sana ,tutakutana nao ,naomba Sana nikutane na Madrid
Hii Arsenal ya Sasa hasa msimu huu ukipata On target unafurahi ,
Kuna vitu vichache tu vya kufix
Hapo tunawakosa mafundi Kama
Partey Ødegaard Rowe Timber
Uzuri February watakuwa fit ,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na performance yenu ya kuungaunga kama hiyo ?Soon Spurs atarusha taulo kwenye mbio za ubingwa
Udogie suspended
Romero suspended for 3 games
Van de virg injured
Maddison injured for 3months
We actually ended Spurs season [emoji24]
Hakuna timu naitaman Kama Bayern na BarcaNa Mimi ndio nawataka hao
Mark my words usiishi kwa mazoea
Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Nyumbu alirusha kitaulo kipindi Cha pre - seasonSoon Spurs atarusha taulo kwenye mbio za ubingwa
Udogie suspended
Romero suspended for 3 games
Van de virg injured
Maddison injured for 3months
We actually ended Spurs season [emoji24]
Flano unamsimkia Masingeli?Anawataka Madrid au Bayern hata leo yani.Na Mimi ndio nawataka hao
Mark my words usiishi kwa mazoea
Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Physicality na pasi zenye macho....England sasahv watu nyoronyoro watasumbuka sana...yle bwana mdogo ni mzuri sana kwny hzo aspects....Zubimendi is more of Busquets...anajua kupora mpira pasi na kusababisha faulo na pia anapiga pasi zenye macho...lakini ukiniuliza mm ntakwambia Zubimendi tyri profile yake tunaye Declan Rice...so we need Fofana the most...tutakuwa na kiungo chenye nguvu na kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mechi hata na hzi timu kubwaHuyo fofana anaupiga mwingi au yeye ana nguvu?