Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana UCL unamtumia vzr tu, walibadili Sheria

A player could play for two different clubs in the group stage and the knockout rounds of the Champions League, or the Europa League, in the same season. Players could switch between competitions in the past, but not stay in the same one with a second team.
 
Oya hii kitu haiwezekani ,

Timber acheze LCM?

Timber anatumika Kama inverted DM
 
Nisikudanganye Nini

Mimi naongea uhalisia ambao Kutoka vyanzo vya uhakika kuwa Arsenal haitasajili CF ,Bali watawekeza pesa kwa Kiungo

Unasema nisikudanganye, hivi mnatumiaga akili kweli?

Liverpool ya klopp imetamba sana bila CF ,Pep kasumbua misimu minne bila CF

Mifano Ni mingi Sana ,

Tumia akili ndogo tu,huwez kuwekeza pesa kubwa €100m kwa CF wakati kiungo Kuna shida ,Partey injury,Jorginho na Elneny wanaondoka

Kipaumbele kwasasa sio CF,

Ndio Yale Yale ya Simba kusajili mawinga10 huku kiungo hakuna au ya manjesta kusajili Anthony kwa €100m, casemiro mzee kwa €70m huku huna beki za maana

Angalia kipaumbele Ni Nini

Arsenal Ni moja ya timu 5 , Ulaya Ligi 5 kwakufunga goli nyingi

Timu Ni backline na viungo, magoli anafunga yoyote,

Una Kai, Jesus , Trosaard na Nketiah unataka January waachane na Kusajili kiungo waongeze CF,

Huyo CF atakuwa Kila nafasi anapewa yeye tu?

Tunahitaji CF but sio kipaumbele kwa January ,
 
Yah kwasasa unamsajili mchezaji anacheza tu Haina tatizo
 
HALAFU KUNA MTU ANAKWAMBIA hamis USITUDAGANYE

Ningewaona Arsenal wajinga Kama watoe pesa ndefu over £70m+ kwa Toney ambaye Hana mech fitness ,Halafu eneo la kiungo bado Lina uhitaji mkubwa


Hizi habari za kusajili CF January nilijua muda mrefu Ni porojo tu

Arsenal inaongozwa na watu makini

Tunahitaji Kiungo mwingine ,hicho ndio kipaumbele

Dirisha kubwa tutulie ,tuvute Sasa a world class CF ,

Arsenal haiendeshwi na matapeli kama manjesta

Wakati wanasajili kina Anthony kwa €100m , Casemiro kwa €70m , n.k tulisema Ni sajili za zima Moto na kitapeli



Una Rice ,Luiz , January anarejea Partey na Timber

Plus waliopo , Magoli atafunga yoyote




Ivan Toney alikuwa analengwa na Arsenal lakini Arsenal sasa wanafikiria kubadili mwelekeo wao wa uhamisho wa Januari na kusajili kiungo baada ya Thomas Partey kupata jeraha jipya.

[@SamiMokbel81_DM]-Tier 1
 
Arsenal's stats over their last three home games in all competitions:

- 3 wins

  • 8 goals scored
  • 4.6xG
  • 36 shots
  • 13 shots on target

  • 0 goals conceded
  • 0.6 xG against
  • 7 shots faced
  • 2 shots on target faced

Control. Control. Control. #afc
 
Mikel Arteta claims Kai Havertz has probably been Arsenal’s best player over the last three games against West Ham, Newcastle United and Sevilla.

The German looks to finally be finding his feet in North London. #afc
 
Uhalisia upi?
Sijakupinga unaposema maswala ya arsenal inataka kusajili kiungo au CF.

Nachosema ni usitudanganye tunachukua UEFA kwa kumtegemea gabriel ambae mda mwingi yupo wodini.
 
Jesus anatuangusha na majeruhu yake, ana umuhimu mkubwa sijui kama analijua hilo jambo.
 
Uhalisia upi?
Sijakupinga unaposema maswala ya arsenal inataka kusajili kiungo au CF.

Nachosema ni usitudanganye tunachukua UEFA kwa kumtegemea gabriel ambae mda mwingi yupo wodini.
Hakuna sehemu nimesema tunachukua UCL , mbona mnakurupukaga hivo

Toka hata makundi hayajapangwa ,nimekuwa nikisema group letu tutamaliza na ponits 15-18

But Kama tutafuzu na kuongoza mapema kundi tunàweza maliza na 12-15

Nikasema mwaka huu tunacheza Wembley sababu Timu nyingi UCL hazina ubora huo ,nikatoa na mifano dhahiri kabisa


Nikasema kwa UCL anayeonekana msumbufu kwa timu yetu Labda mancity ambaye tumecheza nae dakika 180 amepata shots on target 1

Nikasema Nusu fainal uhakika ,ili kucheza fainal tunahitaji ongezeko la viungo tu ,hasa Partey awepo na Timber ,

Siku kadhaa mbele ,Opta ,na makampuni makubwa ya takwimu yakasema Arsenal Ni timu ya 4 inayopewa nafasi kubeba UCL

Tena Madrid na Bayern wanakaa juu ya Arsenal sababu tu ya uzoefu Lakini sio kwamba wanaizid Arsenal Quality


Na ndio uhalisia ambao niliuona

Kwa Sasa sio Siri kupata On target kwa Arsenal ufanye kazi haswa au usubiri VAR ikusaidie

Hapo naongea hayo tuna injury Kama 5 za first team

Ndicho makampuni makubwa ya kukusanya takwimu, Simulation computer ,n.k yakaja kuthibitisha kile nilichokisema


 
Flano na genge lake ambao nawaita KENGE GANG wakija hapa watakubishia
Watasema hizi data unazipika, sio za kweli
 
Hakuna kazi ngumu Kama kuifungua Defence ya Arsenal

Arsenal ndio timu ambayo wapinzani wake create XG ndogo Sana against

This includes expected goals against.

Arsenal are the kings of defence. The best out of possession team in Europe.

twitter.com/xGPhilosophy/s…


Mfano Vs Sevilla juzi, Sevilla wali create XG ya O.O2

 
Hata huyo Tchoumeni kumtoa pale Madrid at the moment ni impossible
Camavinga ndio hagusiki kabisa
Kuna valverd pia, hagusiki
Nimezungumzia kumkubali, si kumpata, jamaa namuelewa mnoo. Najua kumpata si jambo rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…