😀😀😀....wapi amekuwa hana jibu....very clear watu tofauti wamezungumza kabisa ule ni ushindi wa mezani mmetafutiwa....mmepunguza gepu to 4 points ila ndani ya mechi 2 zijazo litakuwa 7 tena mtakuwa huko chinichini huko...kule UEFA mpo group la kifo si ndio😀😀...mmeenda kupata uzoefu kama mnavyojisemesha...si ndio ndugu zetuAcha manenoView attachment 2809155hapo vipi kwaniyaani hii game arteta kalalamika nasikia kaandika mpaka waraka, wanamuuliza unalalamika nini ? Mpira umetoka?, foul au offside? Still hana jibu.
Tatizo braza Jesus anaumiaumia sana sasahv...anatukwamisha hapo tu...ndo maana tunahitaji CF wa uhakika maana Nketiah ni kama mwezi mchanga hivi....kama watasajili kiungo maana yake tuendelee kutegemee contribution ya magoli kutoka sehemu zte uwanjani...ila ngoja tuone mpk January tutakuwa nafasi ya ngapi pale juuKabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
Huyo HARVETZ acha kumtaja kama mchezaji wa muhimu saaaana,anajaza idadi tu wachezaji, ningekuwa na mamlaka ningemuondoa hata December hiiKabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
Naanza pia kumuoana Kai kama yupo kutusaidia tusicheze na watu 10 uwanjani. Naona impact yake ndogo ila wanaojua soka zaidi yangu wanaona ana maana. So mimi bado natumia nguvu kujaribu kuelewa umuhimu wake kwetu kwa sasaHuyo HARVETZ acha kumtaja kama mchezaji wa muhimu saaaana,anajaza idadi tu wachezaji, ningekuwa na mamlaka ningemuondoa hata December hii
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mkuu umeeleweka vyema sanaKabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
Huyu Zubimendi ana maringo sana, last season pia alisema haitaji kuondoka January anaisubilia Barcelona baada ya wakati ule kuondoka Segio Busquet na saivi pia haitaji kuondoka JanuaryMkuu umeeleweka vyema sana
At the moment kumpata zubimendi ni ngumu alafu ata tukimpata tutashindwa kumtumia UEFA
Douglas Luiz, yeah that's it
Ile summer options zitakua nyingi Kuna Frank de jong pia
Kuna wachezaji ambao huwa hawataki kwenda nje ya ligi za nyumbani kwao na particularly kukiwa na Interest kutoka kwny timu kubwa za hapo nyumbani kwao....mi binafsi nimejaribu kumuangalia Zubimendi nikamshindanisha na Fofana....naona kwa sasa tunahitaji kiungo kama Fofana...tuwe na midfield yenye watu wenye nguvu na watata na kule nyuma na wale beki zetu tutakuwa tunawakaribia zaidi Man City kwa quality....hyu Zubimendi kama anaringa ni kuachana naye tuHuyu Zubimendi ana maringo sana, last season pia alisema haitaji kuondoka January anaisubilia Barcelona baada ya wakati ule kuondoka Segio Busquet na saivi pia haitaji kuondoka January
Huyo fofana anaupiga mwingi au yeye ana nguvu?Kuna wachezaji ambao huwa hawataki kwenda nje ya ligi za nyumbani kwao na particularly kukiwa na Interest kutoka kwny timu kubwa za hapo nyumbani kwao....mi binafsi nimejaribu kumuangalia Zubimendi nikamshindanisha na Fofana....naona kwa sasa tunahitaji kiungo kama Fofana...tuwe na midfield yenye watu wenye nguvu na watata na kule nyuma na wale beki zetu tutakuwa tunawakaribia zaidi Man City kwa quality....hyu Zubimendi kama anaringa ni kuachana naye tu
Hii ni maajabuKabla hata makundi hayajapangwa nilishasema tunaenda Wembley mwaka huu
Hadi Sasa Nusu fainal uhakika
Fainal tunaendaje hapa?
Tunahitaji kuongeza kiungo kuliko CF
Arsenal wameachana na porojo za kusajili CF January,
Bali watawekeza pesa kubwa kusajili Hybrid Midfield yaani anayeweza kucheza 6/8
Mikel na Bodi nzima target no.1 Ni Douglas Luiz ,
Vikwazo vya FFP vinazuia kutumia pesa kubwa January , So Nini kifanyike ?
Nikuwekeza pesa kubwa kwa kiungo sababu Partey atarudi January pia summer ataondoka ,maandalizi Ni mapema
Target ya 2 Ni Zubimendi ,Lakini amesema anapemdelea kuondoka Sociedad ,Summer na sio January baada ya kuwa wamefuzu round 16
January Arsenal wamepanga kumbeba Luiz , na sio CF sababu FFP hairuhusu
Hapa Sasa ndio unaona Klabu inaendeshwa kwa mipango na akili
Tuna watu karibu watano wanaocheza CF, Kai ,Jesus, Trosaard na Nketiah
Why uwekeze January €70-100m kwa CF ,
Kuongezeka kwa Kiungo Kama Luiz anayeweza kucheza Lone DM na CM .,inamaana watacheza na Rice mmoja DM mmoja LCM.
Kai anaonekana Sasa Ni RCM na CF
Summer ,Elneny na Jorginho wataondoka na ndio muda wakusajili Zubimendi
So Douglas Luiz Ni mbadala wa Partey
Zubimendi Ni mbadala wa Jorginho
Hivi ndio rebuild inafanyika bila kuathiri ubora wa timu .
Sikuwahi kuamini Arsenal iwekeze huge money kwa CF January ,David ornstein alithibitisha hili
Summer ndio kipind tutawekeza kwa CF, CB na RW Basi
Kufikia January-Fabruary Timber pia atakuwa amerejeaView attachment 2809436
....wapi amekuwa hana jibu....very clear watu tofauti wamezungumza kabisa ule ni ushindi wa mezani mmetafutiwa....mmepunguza gepu to 4 points ila ndani ya mechi 2 zijazo litakuwa 7 tena mtakuwa huko chinichini huko...kule UEFA mpo group la kifo si ndio...mmeenda kupata uzoefu kama mnavyojisemesha...si ndio ndugu zetu
vision na distribution yake ikoje? huwa namuona timber kama martinelli ambaye ni beki ila sijui yukoje katika long balls na defence splitting passes from deeptimber akipona majeraha yake anaweza kuicheza vema sana role ambayo rice yuko nayo kwa wakati huu..
kama partey akiondoka.. basi mid iwe ya timber ,rice na ø.
arteta awekeze nguvu zaidi katika kusajili winger na mtu anaeweza kusimama mbele pale na kufunga mabao kwa chances chache atazopata.
Hapana UCL unamtumia vzr tu, walibadili SheriaMkuu umeeleweka vyema sana
At the moment kumpata zubimendi ni ngumu alafu ata tukimpata tutashindwa kumtumia UEFA
Douglas Luiz, yeah that's it
Ile summer options zitakua nyingi Kuna Frank de jong pia
Hapana UCL unamtumia vzr tu, walibadili Sheria
Oya hii kitu haiwezekani ,timber akipona majeraha yake anaweza kuicheza vema sana role ambayo rice yuko nayo kwa wakati huu..