verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Kama tunampata Zubimendi, partey asepe tuWazee patei vp n gari la mkaa au ndio arteta anamsagia kunguni tu?
Hyu alimkaba Saka na bdo goli la kusawazisha likitokea upande wake😅😅😅....badilisha picha weka yle mkimbia hovyo Gusto...naye tutakuambia pia alikimbiakimbia weee lakini still bdo pia goli la kusawazisha likatokea mbele ya macho yake
🤣🤣🤣....mtakuja Emirates nyny watoto wadogo sana
Kuna link za Zubi, kama tukimsajili basi Rice anarudi #6, jana kwenye post match conf anasema #6 ndio position yake japo anaenjoy kucheza #8.Wazee patei vp n gari la mkaa au ndio arteta anamsagia kunguni tu?
Msimu wetu utakuwa bora zaidi Timber akirudi, mbinu za Arteta mwanzo wa msimu zilimuangalia sana huyu mchezaji, mechi za pre season hata ile dhidi ya City CS inaonesha wazi. Kukaa bench kwa Magalhaes hata inversion role kwa Partey sababu ilikuwa uwepo wa Timber.Arsenal are currently 3 points off the top, having played Man City, Man United, Spurs, Chelsea and Newcastle.
Top of the CL group, with 4 points ahead of PSV and Lens and likely will be the group winners.
This is despite Jesus, Partey and Timber being injured for the majority of the season and players like Zinchenko and Odegaard missing games.
We have had a good start to the season don’t let rivals and media fool you to think otherwise.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila akirudi...Arteta aendelee na back 4...mambo ya kumuweka nje toto tundu Malgalhaes hatutaki kabisa...Zinny ndo aanzie nje...yle mjapani wetu atakuwa anapokezana na Benny white a.k.a Blanco....ila natamani sana Kiwior awe anapewa 90 mins hzi mechi ndogondogo kama na kina Manunu au ChelkengeMsimu wetu utakuwa bora zaidi Timber akirudi, mbinu za Arteta mwanzo wa msimu zilimuangalia sana huyu mchezaji, mechi za pre season hata ile dhidi ya City CS inaonesha wazi. Kukaa bench kwa Magalhaes hata inversion role kwa Partey sababu ilikuwa uwepo wa Timber.
Sasa mkuu tushinde af tuwe wanyonge?? Sio kweli. Acha tutambe kwanza.Hawa kondoo wazoee, wakishinda tumechi tumoja hizo sifa wanazomwagiwa wachezaji utafikiri mpira wanaangaliaga wenyewe. Ngoja wafungwe sasa!! lawama ni kwa Jorginho na VAR.
Hao wachezaji hata game la Chelsea waliwekwa mifukoni vizuri tu. Leo unaambiwa hawakabikikushabikia Arse88 ni nusu ya uchizi.
ESR aachweinatafutwa £100m ili timu iweze kumnunua Toney next January.Four players could be sold in order to raise the needed cash:
ESR
Partey
Ramsdale
Nketiah
Source: Athletic
Na ramsdale pia. Kipa akiumia uwe na mbadala wa kuelewekaESR aachwe
Mkipaki basi mtashinda, ila msijaribu kufunguka. Waulizeni wenzenu Tot.😀🤣🤣🤣....mtakuja Emirates nyny watoto wadogo sana
Sisi tupaki basi🤣🤣🤣....huo utaratibu ni WA Manunu wakichezaga na sisi...nyie msimu huu mmetuamsha na ile draw...Sasa kituo kinachofata mkija mnakula miguu ya mezaMkipaki basi mtashinda, ila msijaribu kufunguka. Waulizeni wenzenu Tot.😀
Wapigwe miguu ya pweza (7+) tuSisi tupaki basi....huo utaratibu ni WA Manunu wakichezaga na sisi...nyie msimu huu mmetuamsha na ile draw...Sasa kituo kinachofata mkija mnakula miguu ya meza
🤣🤣🤣Wapigwe miguu ya pweza (7+) tu
Na ramsdale pia. Kipa akiumia uwe na mbadala wa kueleweka
Umefufuka leo...mnaendeleaje huko kundini watoto wadogo...na mkijichanganya kwnda Ueropa kule ndo kuna watu wa kazi zaidi...
🤣🤣🤣....ndo unavyojidanganya hvyo...nilikuambia mwaka huu mmepata sana bahati kucheza haya mashindano mkishatoka msubiri miaka 20 mingine ndo mtapata nafasi ndugu zetuNipo katika group of death na still nina chance ya kutoboa , usilinganishe geodie fans na false hopers .
Tukienda ueropa ndo kabisa tunahesabu tayariii kombe 1 kabatini team pekee ambayo tutaenda kwa umakino ni Liverpool tu wengine tunapiga .
Halafu kwanza huko europa hatuendiii na hata tukienda ni poa tu kuliko kuwa kama nyinyi mnatoka 16 bora.
....ndo unavyojidanganya hvyo...nilikuambia mwaka huu mmepata sana bahati kucheza haya mashindano mkishatoka msubiri miaka 20 mingine ndo mtapata nafasi ndugu zetu