Jana alichokosa ni kutumbukiza mpira wavuni tu...mengine yte alifanya sahihi kabisaHavertz anakuja taratibu confidence inarudi na magoli yatakuja.
Kama umeamka salama njo tuwacheke Manchester United.View attachment 2808406
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huwa mnakuja humu kutusagia kunguni...tunawakaribisha mje vijana wetu tuongee hmu...hili ndo jukwaa kuu kwa watu wa timu zte....unabisha ngoja tembo akae juu ya tawi pale utaona zengwe litakavyozidi kutoka pande zoteUnatucheka United kwenye jukwaa la Arsenyani?
Twende Unyumbuni ukatusimange vizuri.
Huyu dogo aliyepiga msumari wa mwisho ni mzuri sana haswa akiwa na ball, kwa umri wake 17, kama anapata kocha mzuri, atakuja kuwa player zuri zaidi, kasumbufu saana, kanatokea kulia na mguu wake wa kushoto na kanapenda kupiga.Kama umeamka salama njo tuwacheke Manchester United.View attachment 2808406
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huwa mnakuja humu kutusagia kunguni...tunawakaribisha mje vijana wetu tuongee hmu...hili ndo jukwaa kuu kwa watu wa timu zte....unabisha ngoja tembo akae juu ya tawi pale utaona zengwe litakavyozidi kutoka pande zote
Kumuwekea Martinelli beki mmoja ni kama kumuwekea Mbappe beki mmoja, kwa level waliyofikia Saka na Martinelli huwa hawakabwi na mchezaji mmoja, huwa wawili na wengine huweka hadi watatu, hata Newcastle wanafanya hivyo.
Asenali msimu huu pale juu hapamstahili kwa sasa ๐๐๐ labda apate watu wa uhakika kwenye eneo la ushambuliaji ....Swala la tembo kukaa pale juu msimu huu msahau kabisa, ile ngekekewa mliyoipata msimu ulioisha ya kukaa kileleni siku 258 halafu mkamaliza ligi mikono mitupu haijirudii tena.
A golden chances never come twice.
Mwambie Masingeli huko unyumbuni watu tunamsubiri kwa hamu akatupee yale maneno yake ya faraja.
Kaka sevila anatafuta nafasi ya yuropa ๐๐๐ yule asenali wasijisifu sanaaaaa kwa ushindi ule,Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.
Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutanโs na wanaume matusi yanakuwa mengi.
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
We kondoo acha kuongopea Uma.Kumuwekea Martinelli beki mmoja ni kama kumuwekea Mbappe beki mmoja, kwa level waliyofikia Saka na Martinelli huwa hawakabwi na mchezaji mmoja, huwa wawili na wengine huweka hadi watatu, hata Newcastle wanafanya hivyo.
Hawa kondoo wazoee, wakishinda tumechi tumoja hizo sifa wanazomwagiwa wachezaji utafikiri mpira wanaangaliaga wenyewe. Ngoja wafungwe sasa!! lawama ni kwa Jorginho na VAR.Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.
Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutanโs na wanaume matusi yanakuwa mengi.
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.
Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutanโs na wanaume matusi yanakuwa mengi.
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
Kwhyo alianza mashindano kwa target ya kwnda Ueropa๐ค ๐ค ...ushabiki mbaya sana...wacha nikupe hii...kuna timu mbili za England mechi zijazo zitafuzu kwnda hatua ya 16 Bora....alaf kuna hzo timu mbili nyingine Sasa...kuna kamoja kataenda Ueropa halafu kuna kamoja katatupa taulo kabisaa yaani hakatotaka tabu....malizieni ni kina nani haoKaka sevila anatafuta nafasi ya yuropa ๐๐๐ yule asenali wasijisifu sanaaaaa kwa ushindi ule,
Arteta, 16 bora asipobadilika sidhani kama atatoboa kuna uwezekano mkubwa akatema bungo๐๐๐ na akipenya hapo robo fainali kituo bayern/barcelona/real madrid/atletico ๐๐๐
We kondoo acha kuongopea Uma.View attachment 2808536