Kiikweli jamaa anazingua.
Pale kwenye box kaupoteza mpira kizembe mnooo, mtu kama trossard, ode hawezi fanya upuuzi ule, anakimbia kama ana kinyesi matakoni.
Leandro Trossard has now scored five goals in all competitions for Arsenal this season, while ALL his five goals have been assisted by Bukayo Saka.
#afc
Combo ya
Martinell Trousard Saka
hua ina balaa sana last season wakat jesus hayupo walipiga mpira mkubwa sana hawa jamaa kwa umoja wao ila baada ya jesus kurudi sikuwai kuiona tena zaid ya leo na tayari ishalipa mpaka sasa.