Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
League Cup: West Ham 3-1 Arsenal
Arsenal fans: We got knocked out to focus on the league.
Premier League: Newcastle United 1-0 Arsenal
Ndiyo maana nikasema var 1-0 arsenal, maana lengo ilikuwa wapewe point 3 tunawapongeza kwa ushindi..Jifariji ila point tatu zimebaki pale
Yan Epl kwenye VAR hawana muendelezo kwenye matukio kabisa, game nyingi sana makosa yanakua ni afadhali kingekua kinapigwa kama zamani tu wanazidiwa na VAR inayoendeshwa na waafrica kwenye CAF Champions League aisee,Kutoka kwenye 'Post match interview' ya Mikel Arteta;
• Ni aibu kwa PL kuwa na maamuzi mabovu
• Kudhulumiwa point tatu ni jambo kubwa PL
• Goli la Newcastle halikuwa halali kwa sababu zaidi ya moja
• Msamaha hautobadilisha chochote
“It’s a disgrace and it’s embarrassing”
Kwani kwakuwa amesema Wenger basi inakuwa universal? Ulizidiwa jana wala hakuna vita yoyote. Kama ingekuwepo wangeadhibiwa wahusikaLakini tusisahau kuwa mpira si vita, ni mchezo wa burudani watu wanalipia kuenjoy.
"Football should be an art" ~ Arsene wenger.
Football aisee daah.Shabiki mmoja wa Liverpool jana alikuja humu na kusema Aston Villa na Liverpool watashinda leo na sisi tutashushwa mpaka nafasi ya 6.
Matokeo yake mpaka sasa tuko pale pale.
Nottingham 2-0 Aston Villa
Luton 1-1 Liverpool
Wamepanga kutumaliza😀😀😀...kesho tunasubiri ndugu zetu Chelsea watufanyie hisani...Liverkuku leo wamefanya ujinga sana kutotumia hii nafasi kupanda pale juu zaidiShabiki mmoja wa Liverpool jana alikuja humu na kusema Aston Villa na Liverpool watashinda leo na sisi tutashushwa mpaka nafasi ya 6.
Matokeo yake mpaka sasa tuko pale pale.
Nottingham 2-0 Aston Villa
Luton 1-1 Liverpool
Shabiki mmoja wa Liverpool jana alikuja humu na kusema Aston Villa na Liverpool watashinda leo na sisi tutashushwa mpaka nafasi ya 6.
Matokeo yake mpaka sasa tuko pale pale.
Nottingham 2-0 Aston Villa
Luton 1-1 Liverpool
Huyo jamaa muwe mnampuuza hayupo sawa kiakiliUsimfanyie ivi binadamu mwenzio kaka.
We unajionaga upo sawa kiakili?Huyo jamaa muwe mnampuuza hayupo sawa kiakili
The problem is that the method you talk about is too flawed, its not sustainable in the long run, ask yourself where is mou right now, how is he doing?A journalist asked Mourinho: "City controlled the ball for 90 minutes, and the possession rate was more than 80%."
Mourinho:" they can take the ball home, i took 3 points"
Safi, hii kubwa mno, kama timu tupo pamoja.️ Arsenal statement on VAR and Arteta’s words.
“Arsenal Football Club wholeheartedly supports Mikel Arteta’s post-match comments after yet more unacceptable refereeing and VAR errors on Saturday evening.
“We’d also like to acknowledge the huge effort and performance from our players and travelling supporters at St James’ Park.
“The Premier League is the best league in the world with the best players, coaches and supporters, all of whom deserve better.
“PGMOL urgently needs to address the standard of officiating and focus on action which moves us all on from retrospective analysis, attempted explanations and apologies.
“We support the ongoing efforts of Chief Refereeing Officer, Howard Webb and would welcome working together to achieve the world-class officiating standards our league demands”.
Oya OLLI alinyongwa na akachomwa moto😄😄Mnafananisha kilichotokea jana na match ya Liverpool vs tot kitu ambacho si sahihi. Match ya liver kulikua na technical issues tofauti na game ya jana.
Game ya jana vitu vyote 3 vimeangaliwa cha kwanza kabisa wameangalia kama mpira ulitoka wote na wakahakikisha kabisa mpira haukutoka wote, ikaangaliwa kama kuna possible foul ikaonekana li gabriel limeruka lakini lika fake kama limefanyiwa foul baada ya kuona limeshindwa kufikia mpira . Tukacheki kama gordon yupo offside lakini hakuwa offside.
Mnacholalamika nyinyi ni nini tuelewe basije mpira ulitoka nje?, gabriel kafanyiwa foul au gordon alikua offside ??
Kipi hapo au ni vyote ???View attachment 2804558
Gordon baada ya kuona game of thrones wanamzingua akaja kupiga mpira pale st james
duuuuh mkuu nimekukubali hadi jesus mchezaji wa mech ndogoSababu inayonifanya niamini kwamba arsenal haitafika mbali ni ukosefu wa aggressiveness timu inapocheza. Timu iko soft sana uwanjani.
Aina ya mpira anaofundisha Arteta hauwezi kamwe kuifanya timu ishinde mechi za mtoano na kwasababu hiyo hatutakuja kubeba makombe ya ulaya.
Kuna sehemu unaona kabisa hapa inatakiwa kupiga pasi tatu tuwe golini kwa mpinzani lakini tunasimama na kusubiria wapinzani wajipange ndio twende.
Tunafika sana kwenye box la adui lakini hatufanyi attempt. Hili nalo ni tatizo kubwa sana na ndio mahali siku zote panamfanya Trossard aonekane bora maana yeye anajaribu.
Kocha yoyote anayefanya homework yake vizuri hawezi kufungwa na arsenal kwasababu mpira wa Arteta uko predictable sana. Kocha hana mabadiliko kulingana na aina ya mchezo.
Mbaya zaidi anaenda kumsajili Havertz huku tayari anayo mizigo kama Jorginho, Rowe, Vieira, Nelson, Nketiah, Cedric na Elneny.
Zinchenko, Gabriel Jesus, Odegaard na Ramsdale ni wachezaji wa mechi ndogo japo sio mbaya kuwa nao kama squad players.