Maadui wa mgonjwa tunaamin leo mgonjwa hawez kupata nafuu lzm aende na maji
.
Tumekuja hapa kwa mgonjwa kuweka kambi mapema tukitegemea baadae kutakua na pilau na vinywaj vya kutosha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu.
Tunakutegemea Malaika mtoa roho (THE MAGPIES) usituangushe leo