H
Hii ya goli 10 ndio funga kazi
Hiii mnafanya ionekane mbaya na kuumizia sanaHii ya goli 10 ndio funga kazi
Kenge mnasapotiana ujingaHahaha tuliwaambia
hamna aliyejua kuwa West ham atatupiga tatu,Sote tunajua Newcastle ni timu nzuri tangu msim uliopita ila bado sijaiona Newcastle ya kuifunga Arsenal inayotegemea kuchukua ubingwa msimu huu sote tunajua hawa vijana walikutana na Manjesta utd timu mbovu iliyojichokea sana msimu huu
Mmepigwa sasa hamtaki au?Kenge mnasapotiana ujinga
Wewe jamaa sijui unazungumzia ligi gani.Sote tunajua Newcastle ni timu nzuri tangu msim uliopita ila bado sijaiona Newcastle ya kuifunga Arsenal inayotegemea kuchukua ubingwa msimu huu sote tunajua hawa vijana walikutana na Manjesta utd timu mbovu iliyojichokea sana msimu huu
Mwambie huyo huo league nyie bado sana ndugu zangu. Msijifariji najua mnatamani kuchukua lakini sio kizembe kama mnavyodhanihamna aliyejua kuwa West ham atatupiga tatu,
Tusiwe na matarajio makubwa sheee
Kwa Ile midfield ulitegemea ipate chochote kitu sio?hamna aliyejua kuwa West ham atatupiga tatu,
Tusiwe na matarajio makubwa sheee
Midfield ya West Ham iiiyokupiga uliiona?Kwa Ile midfield ulitegemea ipate chochote kitu sio?
Kama uliiona wewe inatoshaMidfield ya West Ham iiiyokupiga uliiona?
Baada ya matokeo ndiyo unasema hivyo?Kwa Ile midfield ulitegemea ipate chochote kitu sio?
Ndiyo ile ile iliyopigwa moja na Everton lakini hawezi akakubali.Midfield ya West Ham iiiyokupiga uliiona?
Naona katoa povu hapo juu. Wiki 2 nyuma Viera alikua anasifiwa humu kabadilikaNdiyo ile ile iliyopigwa moja na Everton lakini hawezi akakubali.
Mashabiki wa Arsenal sometime tunazingua sana na false hopes zetuNaona katoa povu hapo juu. Wiki 2 nyuma Viera alikua anasifiwa humu kabadilika
Bora afsa unaliona hili.Mashabiki wa Arsenal sometime tunazingua sana na false hopes zetu
Huna timu ya kumzuia Spurz acha habari za et tutauzaKuliko nyie matakataka muongoze ligi, mnamo jumatatu tutauza game yetu Spurs ashinde at least akiwa bingwa yeye itapendeza kuliko nyie chadomo domo arse8 fc
Kwa mpira wa Newcastle na hao watu niliowataja tunaweza pata aibu kama ya West hamJorginho sio wa kumuweka katikati akabiliane na kina Bruno G,
Option iliyopo ni kumuweka Rice kama 6 tu na Vieira ama LT19 LCM basi kinyume na hapo ni maumivu.
FACTBaada ya matokeo ndiyo unasema hivyo?
Utasingizia Rice? aliingia dk 57
Au Viera ambae mara nyingi amekuwa akitupa matokeo timu ikiwa inamuhitaji?
Hamna cha kisingizio tukubali tuu hamna haya ya kujiaminisha kila mechi wakati hata timu nyingine zinahitaji matokeo.
Kuna watu humu kazi yao ni kusifia tuu hata kwenye ukweli hawakubali,