arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Tuelewe kwanza tunaongea na watu wa aina gani....hvyo tu....zikianza habari za UEFA champions hmu huwa nakaa kimya...why??...simple kwasababu kule sina cha kuongea tangu lile kombe limeanzishwa sijafanya chchte....ila hku ndani kwakwli tutazungumza vzuri tu...kwni kama ni rahisi kukaa pale juu kwnn nyny bdo mko chinichini hko mnapigana vikumbo na kina Wolves...its simple ni kwasababu hamna uwezo wa kukaa pale...yaani kwasasa ninyi ni miongoni mwa vile vitimu vdogo....ratiba yenu mpk mje kukutana na Manunu mtakuwa nafasi ya 16-17 huko....Ndio mana nikakuuliza nafasi ya ngapi inasaidia nini kwa sasa? Kama msimu uliopita mlikaa top msimu mzima mkaambulia mikono mitupu sawa na chelsea, haina maana kujitapa wkt tunawajua.
View attachment 2802189Mfukuza upepo umemuona?
Yule Kieran Tierney alitolewa mkopo kwa nini sasa tunastruggle?I just wish kwa Newcastle tuingie hivi
Role ya Joginho acheze Rice
Role ya Rice acheze Zinny
Daaaah utapigwa mwingi ile kinoma noma[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2802146
Changamoto kubwa naona kiungo, na hii inatokana na majerui yanayojirudia kwa anko Tom parteyYule Kieran Tierney alitolewa mkopo kwa nini sasa tunastruggle?
Huwezi kutegemea ubingwa kwa straika nketiah yaan solution ni wamwage pesa mwez wa 12 tupate straika wa maan huwez kumchukua harvetz et awe straika ni utopolo mtupu kwa arsenal bado hatuwez kubadili mambo scouting ya wachezaj ni mbovu saanaChangamoto kubwa naona kiungo, na hii inatokana na majerui yanayojirudia kwa anko Tom partey
Changamoto inayofata ni kukosa consistency kwa forward wetu
Kama Nketiah leo anakufurahisha, mechi tatu zijazo tunatakani auzwe
Defence yetu ipo strong zaidi ya mnara wa babeli
Nao hapo kushoto beki haitulii kabisa, natural defender ni Kieran Tierney, mara Tom, mara nani, Zinny palishamshinda angekaa kiungo tu.Changamoto kubwa naona kiungo, na hii inatokana na majerui yanayojirudia kwa anko Tom partey
Changamoto inayofata ni kukosa consistency kwa forward wetu
Kama Nketiah leo anakufurahisha, mechi tatu zijazo tunatakani auzwe
Defence yetu ipo strong zaidi ya mnara wa babeli
Sasa hizi ndo mechi ngumu sasa kwa mujibu wa kina NgongotiWatapata tabu sanaView attachment 2802531
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu Masingeli mechi ya kesho na Newcastle supercomputer imesema mtamgonga goli ngapi?Pochettino says in his presser that he would never ever manage Arsenal or Barcelona.
Kesho Saliba anafunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu Masingeli mechi ya kesho na Newcastle supercomputer imesema mtamgonga goli ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi Manyumbu tulikunywa chupa 3 za Castle light, nataka kujua Li Supercomputer limewatabiria Arsenyo kunywa chupa ngapi za Castle lager?Kesho Saliba anafunga
Kesho sogelea mapema luninga yako...na nakuhakikishia utaondoka unasonya😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi Manyumbu tulikunywa chupa 3 za Castle light, nataka kujua Li Supercomputer limewatabiria Arsenyo kunywa chupa ngapi za Castle lager?
Mpira anaofundisha poche na hivyo vilabu ni mbingu na ardhiPochettino says in his presser that he would never ever manage Arsenal or Barcelona.