Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I just wish kwa Newcastle tuingie hivi

Role ya Joginho acheze Rice
Role ya Rice acheze Zinny

Daaaah utapigwa mwingi ile kinoma noma

Alafu nyie Kenge mliojazana humu kwa lipi Sasa au wivu wa kike tu unawasumbua
Uefa kwenyewe tuongoza kundi
Ligi Hadi dakika hii ni unbeaten

Unajua uchawi sio lazima uwe na tunguli, kikatiba ukiwa na chuki za kipumbavu inatosha kuitwa mchawi
 
Mechi ya kesho ni ngumu sana sio ya kuichukulia poa hata kidogo,na kwa pancha za mara kwa mara za wachezaji muhimu ni vizuri January kuongeza watu wa kazi,lakini kutegemea midondo kama Kai na Jorginho hatufiki popote
 
I just wish kwa Newcastle tuingie hivi

Role ya Joginho acheze Rice
Role ya Rice acheze Zinny

Daaaah utapigwa mwingi ile kinoma noma

View attachment 2802146
Zinchenko akae benchi kwakwli...hyu jamaa hajui kukaba kabisa...mwaka jana na Liverpool ndo alitusababishia draw pale Anfiled na ndoto za ubingwa zikaanza kufia pale....juzi goli la pili katusababishia yy...kapinduliwa kipumbavu na Kudus....hyu mechi zake ni kina Luton Town...
 
Sijajua kwann Trossard hajatumika kama LCM so far au mazoezini hamshawishi mwalimu labda....ila nadhani akicheza pale tunaweza kupata kitu tofauti maana jamaa anajituma kiukweli
 
Eboo kwamba CURTAIN RAISER😂😂 si bonanza hili halafu wanajisifia wamechukua kikombe. Mkuu hizi spana unazowapiga ni hatari😂😂
Huyo jamaa yupo vizuri kichwani, analeta kitu na evidence ya kueleweka. Sio hiz kondoo za Arteta unakuta mchezaji kacheza hovyo na unaona kbs kavurunda, kondoo inadownload tu grafu inatuletea kua kacheza vizuri kisa tu kaikuta mtandaoni.
 
Ila baada ya kipigo cha juzi akili imeanza kuwaingia. Kelele za kikosi kipana zinaanza kupungua
 
Ndio mana nikakuuliza nafasi ya ngapi inasaidia nini kwa sasa? Kama msimu uliopita mlikaa top msimu mzima mkaambulia mikono mitupu sawa na chelsea, haina maana kujitapa wkt tunawajua.
Mfukuza upepo umemuona?
 
Nyie kondoo si mliaminishwa kua bila Ziny Arse888 haiwezi kuoverload? Kama mnavyoaminishwa sasa bila Kai Arse888 haiwezi kuwin mipira ya juu. Na huwa mnaamini!!! Yaan nyie kondoo mnapelekwa pelekwa mpk huruma.

Kuna kama wawili watatu humu ndio naonaga zipo kamili huwa hawayumbishwi. Mmojawapo ni dadamlamayao.
 
Wewe hukutufunga kama kweli kikundi cha ngoma.
 
Kwa quality ya wachezaji Chelsea imewazidi arsenal pakubwa sana. Ni vile tu Chelsea hatujaelewana bado
 
Li-tarakilishi kubwa kabisa(supercomputer) limetabiri tena na Newcastle mnashinda tatu bila. Hii taarifa mpeane makondoo wote, kwamba mnampiga mtu tatu.
Anzeni kuisambaza sasa hivi. Au tumsubiri mchunga kondoo aje awaambie??
 
Mechi ya kesho ni ngumu sana sio ya kuichukulia poa hata kidogo,na kwa pancha za mara kwa mara za wachezaji muhimu ni vizuri January kuongeza watu wa kazi,lakini kutegemea midondo kama Kai na Jorginho hatufiki popote
Hahaha Chelsea akiuza mchezaji shtuka kaka. Hakuna mchezaji mzuri anaweza toka Chelsea kwenda Arsenal kaka. Rejects zetu ndo tunazidump kwenu.
 
Alisema kukaba ndo weakness yake. Halafu ni beki.
 
Li-tarakilishi kubwa kabisa(supercomputer) limetabiri tena na Newcastle mnashinda tatu bila. Hii taarifa mpeane makondoo wote, kwamba mnampiga mtu tatu.
Anzeni kuisambaza sasa hivi. Au tumsubiri mchunga kondoo aje awaambie??
Sasa jamaa unaishi kwenye ulimwengu wa predictions?
 
dadamlamayao hua hakubali kuburuzwa kizembezembe, mara kibao humu hua anakua against na false hopes za wazee wa Supercomputer, huyu jamaa mimi nilishamtoa kwenye list ya misukule.
Misimamo yake hua naikubali sana ila tatizo lake ni matusi tu, ila jamaa mpira anaujua.
 
Ten hag hawezi kuwa Technical director, sababu kafeli kwenye sajili nyingi km vile Amrabat, Antony, Mount etc unaona kuna muda timu haikuhutaji hao wachezaji

Makocha km Pep, Arteta na klopp ni rahisi sn kuwa technical directors sababu Wana jicho la kuona wachezaji na namna wanavyofit kwenye mfumo (talent id)

Eddie howe mi sijui chochote kuhusu yeye, yani sifatilii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…