Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vipi lakini westham matokeo ngap ngap nembu tupe uchambuziii

Wewe ndo ulisema Newcastle ni westham iliyochangamka na tayariii mmekula pakiti moja ya ndomu sasa subiri pakiti 2 ziiishe jumamosi
Endelea kuropoka mpk hyo Jumamosi....nasikitika sana Isack hatakuwepo maana mtasingizia yule ngongoti wenu...ila uwezo wa kutufunga nyny hamna....wacha siku ifike halafu uone kwnn upo nafasi ya 6
 
Endelea kuropoka mpk hyo Jumamosi....nasikitika sana Isack hatakuwepo maana mtasingizia yule ngongoti wenu...ila uwezo wa kutufunga nyny hamna....wacha siku ifike halafu uone kwnn upo nafasi ya 6
Mwaka jana mlishikilia bomba Emirates mkajiona mmewiva....ila kwenu ngoma ya kitoto haikukesha....Sasa Jumamosi tunakuja kuwatembelea tuone mtakavyocheza huo mpira....
 
Sasa westham kawala vitatu vya maana ndo ije iwe sisi, subiri kaa mkao wa kupakatwa jumamosi
Uwezo wa kutufunga nyny hamna...hamna kabisa....na wale West Ham sijui ratiba ya ligi ni lini tunacheza nao tena....natamani tuanze palepale kwao na ule mpira wao wa kupaki basi halafu tutakuja kuulizana vzuri imekuwaje.....hatuna utamaduni wa kufungwa mechi mbili mfululizo....sio jadi yetu hyo ni Tabia ya kina Manunu na Chelkenge sio ss
 
Vipi lakini westham matokeo ngap ngap nembu tupe uchambuziii

Wewe ndo ulisema Newcastle ni westham iliyochangamka na tayariii mmekula pakiti moja ya ndomu sasa subiri pakiti 2 ziiishe jumamosi
Kwani jana hawakuovalodi kiungo na kuintachenji pozisheni?
Msimu huu hawa jamaa watamaliza mikono mitupu, halafu kuna jamaa ataanza kuwadanganya kua hii ni phase 4, makombe wataanza kubeba rasmi kwenye phase 5
 
Wachezaji gani wanaocheza kila siku mkuu
kwani lineup si ile ile tu
1:Nketiah 2:ben white 3: gabriel 4:zincheko haw wote wanacheza kila siku .

2: Aerola, antonio, ward prowse na zouma hawa ni first eleven ya westham na hakucheza jana pia au unaona wewe tu ndo ulipumzisha wachezaji , fabianski ni second goalkeeper westham .
 
Endelea kuropoka mpk hyo Jumamosi....nasikitika sana Isack hatakuwepo maana mtasingizia yule ngongoti wenu...ila uwezo wa kutufunga nyny hamna....wacha siku ifike halafu uone kwnn upo nafasi ya 6

Ngongoti sio nitajie mchezaji yeyote wa arsenal anayemzidi magoli hapo kwenu
 
Kufungwa sio shida ila kufungwa tatu tena na west ham mbaya zaidi.

Daah sasa hi kauli ya kuitwa false hopers,,nimeanza kuilewa.

Binafsi ntaamini arteta ni kocha wa makombe mpaka tubebe hasa long tournament kama uefa,epl na ueropa..

Daah toka kuzaliwa mpka leo sijawahi kufurahia vikombe vya mbuzi sijui carabao fa those are shit cup

Fu#ck arsenal but i love it.
 
ku overloading na overplaying sijui position shifter ni humu jamii forum likiaanza mbugi tu watu wanapigwa msako mpaka wanajiweka
 
Hii ya false hopers haitakii hata jukwaa la jamii check lithibitishe hili yaani ni matumaini bandia kwa kwenda mbele .

Ningequote baadhi ya false hopes sema nilipigwa marufuku maana ilionekana kumquote mtoa false hopes nitamsababishia trauma

Sasa kama ni hivyoo hii arsenal si tayariii imeshampa trauma sugu
 
West Ham sio wabaya tena kwa line up kama ile ya jana...magoli mawili ni mistake za wachezaji...inatokea na watu wanajifunza....mechi ijayo hutamuona Zinchenko akianza na wala hutamuona Georginho....watacheza watu wanaojua kukaba...jana Hawa wawili walichangia kwa kiasi kubwa kufungwa kwetu....
 
Ww piga Domo ila nafasi yako ni hyo ya 6 na utamaliza wa 7 huko....huna uwezo wa kupanda pale juu na huo mpira wako wa butua mbele tufukuzane....uzuri ni kwmba siku zinakaribia....utaeleweshwa vzuri kwnn ww bdo ni mdogo....statistically ukiangalia Dortmund ni timu inayofunga na kufungwa sana magoli lakini wamekuja siku ile wakaficha mpira tukabaki kuona mnazurura tu....Sasa nyny Jumamosi tunakuja kurudia tulichokifanya mwaka jana
 
Kwahiyo leo hii zincheko amekuwa si first 11 au unataka tukuonyeshe mlivyokuwa mamnasema arsenal bila zincheko
Mechi ya jana kwa aina ya forward kama Kudus haikumfaa....maana kukaba ni mbaya....na huo ndio ukweli....West Ham wanacheza kama Sevilla tu....ndo maana nilitoa mfano jana kama angeaza na Sevilla pia tungefungwa goli kutokea upande wake uleule maana watu washajua kukaba hawezi
 
Ni sawa na Isack tu...mbio nyngiii ila nguvu Hana....vipaja kama vya panzi...Sasa akikutana na mabeki wenye Kasi na nguvu....anafichwa
 
Ni sawa na Isack tu...mbio nyngiii ila nguvu Hana....vipaja kama vya panzi...Sasa akikutana na mabeki wenye Kasi na nguvu....anafichwa

Huyo jesus mwenye mapaja mengi ana goli ngapi? Jipe hopes ni kawaida yenu nyinyi tena una bahati hayupo ungekula vinu vya kutosha hio jumamos
 
Vipi lakini westham matokeo ngap ngap nembu tupe uchambuziii

Wewe ndo ulisema Newcastle ni westham iliyochangamka na tayariii mmekula pakiti moja ya ndomu sasa subiri pakiti 2 ziiishe jumamosi
Kuhusu nyukesto kua westham yenye hela huo siyo uongo. Yaani pamoja na hela zote kocha wa kuiepeleka nyukesto kwenye level za elites hawezi kua Howe kwa 100%.

Hata wachezaji mlionao wengi ni wa kufanya nao warm up wakati mnasubiri kwenda level za elites.

Westham katufunga Arsenal chama kubwa 3. Tumechana sana mikeka ya watu wasiojua timu yenye malengo haigombei carabao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…