I wish Kai aione hii comment yakoArteta huwa anasema ukipewa nafasi perform, kuna wachezaji wanapewa nafasi na bado hawaonyeshi kiwango.
Anaekuja kupewa lawama ni kocha, ila tujiulize! kweli kocha anastahili lawama kwenye mazingira haya!?
Na watu wanalaumu ooh Arteta hatoi game time kwa wachezaji wengine, Mfano Nelson, Trossard (as long as Martinelli is fit and Saka) sioni hao wakianza watokee bench tu.
Hata Rambo Raya will start all day anytime kwenye EPL na UEFA
Hehehe tumefungwa carabao hadi shabiki wa nyukesto kaja.
Juzi tunamuita anapita kimya kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwisho wa msimu hawa false hopers wataanza kutukanana humu, halafu kuna wengine watajipiga Ban.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio Masingeli anavyosema mna kikosi kipana hua anawadanganya? View attachment 2801144
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ben White anamuonea wivu Maguire kutikisa nyavu, jana kaona isiwe kinyonge wacha nianze na mimi kuchuana na Lord Maguire.Mcheki huyo ben white alivyosimama hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unashuka nao jumla jumla mkuu 😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio Masingeli anavyosema mna kikosi kipana hua anawadanganya? View attachment 2801144
Humu ndani leo pagumu sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwisho wa msimu hawa false hopers wataanza kutukanana humu, halafu kuna wengine watajipiga Ban.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa zangu hawa, kila siku hua nawaambia humu Masingeli msiwe mnamuamini sana, anatumiwa tu na Mabeberu kuwaanisha uongo Halafu mwisho wa msimu anawatelekeza peke yenu humu mnabaki kama yatima,Naona unashuka nao jumla jumla mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni humu waliwaaminisha wenzao msimu huu Arsenyo anachukua Treble, lakini muda huu wamejificha kama vile hii timu haiwahusu.Humu ndani leo pagumu sana.
Ongeeni ndugu zetu....ni wakati wenu huu🤠🤠🤠....tumetolewa na West Ham....waliitawala na kuitaka mechi zaidi yetu...ila msijipe matumaini saaaana🤠🤠🤠....kombe limebaki mikononi mwa Liverpool watalichukua maana sioni mtu mwingine wa kulibeba....yamebaki matatu tutabeba mojawapo🤠🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni humu waliwaaminisha wenzao msimu huu Arsenyo anachukua Treble, lakini muda huu wamejificha kama vile hii timu haiwahusu. View attachment 2801298
Ww ropoka yte ila Jumamosi tunawafata mje tuone mtakavyotufunga🤠🤠🤠...bdo hamna timu ya kusumbua kabisa....watoto wadogo sana nynyHavertz has huge potential and can perform in high level in AFC .
Si mashabiki si makocha wanaongoza kwa kupeana false hope , cheki hapa arteta anawapa false hope vijana wake[emoji23]
Habari ya kusema tukimamiza kwny top 4 basi na ww utakuwepo sahau mkuu🤠🤠🤠...Labda kama refa atarudi kuwa Howard Webb acheze mechi zenu zte zilizobaki...nyny na Chelsea mtafuatana kama Bibi na bwana...mmoja nafasi ya 10 mwingine ya 11....hzo ndo nafasi zenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa zangu hawa, kila siku hua nawaambia humu Masingeli msiwe mnamuamini sana, anatumiwa tu na Mabeberu kuwaanisha uongo Halafu mwisho wa msimu anawatelekeza peke yenu humu mnabaki kama yatima,
Lakini hawasikii wacha yawakute sasa. View attachment 2801296
Ww ropoka yte ila Jumamosi tunawafata mje tuone mtakavyotufunga[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...bdo hamna timu ya kusumbua kabisa....watoto wadogo sana nyny
Sasa nyumbu si tulikubaliana wanafungwa hata na Gwambina? Na jana kocha wao kasema ni kweli yeye anasubiria muda tuWewe team huna [emoji23][emoji23][emoji23] ile kauli mbiu ya carabao mnalitaka rasmi imethibitishwa kuwa ni false hope .
Kuna ile kauli inasema “ muda utaongea “ naona ushaanza kuongea sasa tayariii carabao out , wazee wa kikosi kipana jana mmechezea 3 na kikosi chenu cha overplaying.
Newcastle jana wamecheza watoto wote na mtu kachezea za kutosha huku mshaanza kushikana mashati sijuiii kwanini rambo kacheza mara kai anakula matusi mara arteta kachoma kapanga kikosi kibovu yaani bado mpaka tufike may mtakuwa mshasemaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masingeli anawaaminisha misukule pamoja na chawa wake kua kombe rahisi kuliko yote kuchukua ni Uefa, mimi nikamuuliza kama Uefa ni kombe rahisi kubeba haya tuambie tokea kuumbwa kwa Dunia Arsenyau amebeba makombe mangapi ya Uefa?Ongeeni ndugu zetu....ni wakati wenu huu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....tumetolewa na West Ham....waliitawala na kuitaka mechi zaidi yetu...ila msijipe matumaini saaaana[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....kombe limebaki mikononi mwa Liverpool watalichukua maana sioni mtu mwingine wa kulibeba....yamebaki matatu tutabeba mojawapo[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Sasa nyumbu si tulikubaliana wanafungwa hata na Gwambina? Na jana kocha wao kasema ni kweli yeye anasubiria muda tu
Unafananisha mechi ya ligi kuu na Carabao kwli???🤠🤠🤠....baada ya wachezaji wa kawaida wanaocheza Kila siku kuingia hao West Ham walicheza mpira gani tena🤠🤠🤠....halafu hatujacheza nao kwny ligi tutarudi kwny ule uwanja wao tuone watachezaje....nyny jana mmecheza na maiti ilojifia kabisa mnaona mna watu....uzuri Jumamosi hapo tunakutana tuone Guimaraes atakavyochezaVipi lakini draw na westham ulipiga kelele sana[emoji23][emoji23] kiko wapi ?
Taarifa ndogo tu nikupe jana game yetu ya jana kulikua na madogo janja zaidii ya 9 uwanjani na ball limepigwa lakutosha bado hapo majeruhi tulikua nao kama 6 hivi kina isak, murphy, barnes, tonali & botman
Ww ropoka yte ila Jumamosi tunawafata mje tuone mtakavyotufunga[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...bdo hamna timu ya kusumbua kabisa....watoto wadogo sana nyny