arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Kabisa mkuu...ile picha ya Antony akitung'ong'a alivyotutungua ilikuwa inanikera kishenzi halafu jamaa ndo akawa anazidi kuitupiaπππ....ila tulivyowalamba tatu siku ile...picha imepotea kabisaπ π π kabisa yaani. Jamaa ni shabiki flani proper na yuko mature kichwani. anamix nzuri ya unafiki, uchochezi, mahaba ya timu yake na uelewa kuwa mpira ni burudani tu na yeye hajistress nao. Ila anajua namna ya kukera wenzie na usipokuwa makini na mvumilivu, unamtukana πππ
Ole alikua hadi ana undugu na FergusonTeh Hag bado yupo sana ana full support ya bodi labda Sir Jim asimhitaji baadae. Au ili afukuzwe maybe tuburuze mkia UCL na kwenye ligi tupotekee vipigo back to back kitu ambacho sioni kikitokea
Ila shabiki peace sana hana tabu, na huwa anawaropokea mashabiki wa timu yake.Kabisa mkuu...ile picha ya Antony akitung'ong'a alivyotutungua ilikuwa inanikera kishenzi halafu jamaa ndo akawa anazidi kuitupiaπππ....ila tulivyowalamba tatu siku ile...picha imepotea kabisa
ile picha ilikuwa inaudhi sana. Nilikuwa nasubiri tu tukutane nao tuwanyuke tuone flano ataishia wapi na kapicha kake. na kweli sasa huwezi kukaona kale kapicha humuKabisa mkuu...ile picha ya Antony akitung'ong'a alivyotutungua ilikuwa inanikera kishenzi halafu jamaa ndo akawa anazidi kuitupiaπππ....ila tulivyowalamba tatu siku ile...picha imepotea kabisa
Kuburuza mkia hamuwez ,ila kwa uchezaji ule ,hamtoboi top 7Teh Hag bado yupo sana ana full support ya bodi labda Sir Jim asimhitaji baadae. Au ili afukuzwe maybe tuburuze mkia UCL na kwenye ligi tupotekee vipigo back to back kitu ambacho sioni kikitokea
Yule Charlie Patino anagonga namba ngapi yule dogo....maana mpk alikataa kumuuza maana yake kuna kitu kakiona kwa yule bwana mdgoβThereβs always a pathway.β
Mikel Arteta says Arsenal will always look at internal options before going to the transfer market.
Flano we jamaa mnafiki sana. wewe kila mwana arsenal anayegombana na mwenzake, asiyekubaliana na hamis77 au Aaron, asiyemkubali Kai na Arteta, wewe ndiyo mshikaji kwako. Kukiwa na amani humu wewe hutaki kabisa
Halafu ilikuwaje mkapigwa 3 na mamacita? sisi marefa waliamua kuwabeba mamacita. walitunyima red card, tulipaswa kucheza na wachezaji 10 wa mamacita, ila bado tulikandamiza kila idara uwanjani na kuwapiga bao moja
Ile picha imeshapotea ,Flano aliniandama na ile picha maana Anthony sikuwahi kumkubali since day one,ile picha ilikuwa inaudhi sana. Nilikuwa nasubiri tu tukutane nao tuwanyuke tuone flano ataishia wapi na kapicha kake. na kweli sasa huwezi kukaona kale kapicha humu
Price tag inamtesa yule kijana ila Antony ni mchezaji fulani ambaye anacheza mpira wa kazi kama akiamuaIle picha imeshapotea ,Flano aliniandama na ile picha maana Anthony sikuwahi kumkubali since day one,
Msimu huu anaweza akamaliza na goli 1 au 0 kabisa
Unaleta hizo habari za kutufunga? nitamwambia hamis77 awalaani kama alivyo walaani kenge. kawaachia laana wasivuke nafasi ya 12. nyie nyumbu hamisi anaweza kuwalaani mshuke daraja kabisa sema tu tunataka mbaki huku premier league ili tuendelee kuwachapa kila msimu.Mkuu huoni kua mimi nasimamia amani humu ndani?
Muda wote nawaasa vijawa wawe wastaarabu, wapendane na kuheshimiana.
Vijana wengi humu wamekosa malezi ya pande 2mimi nimejitolea kuplay party ya mjomba baada ya kuona humu wamejazana watoto wa singo maza.
Kuhusu Nyumbu hebu tupumzishe kwanza, msimu ulioisha wenyewe tuliwafunga City kwa kupewa goli la offside.
Yupo mkopo championship anakiwasha balaa ,anacheza LCM ,Yule Charlie Patino anagonga namba ngapi yule dogo....maana mpk alikataa kumuuza maana yake kuna kitu kakiona kwa yule bwana mdgo
Antony Masebene kaacha soka anahamia karate. Alimuona Doku kamtoka akapiga buti. Sijui ni zile rasta za Doku zilimfanya Masebene afikiri anadili na videmu vyake? Maana wasineamuliwa wale, Masebene angelala ICU ile siku.Ile picha imeshapotea ,Flano aliniandama na ile picha maana Anthony sikuwahi kumkubali since day one,
Msimu huu anaweza akamaliza na goli 1 au 0 kabisa
π π π π ....vijeba vingezichapa....Antony Masebene kaacha soka anahamia karate. Alimuona Doku kamtoka akapiga buti. Sijui ni zile rasta za Doku zilimfanya Masebene afikiri anadili na videmu vyake? Maana wasineamuliwa wale, Masebene angelala ICU ile siku.
Halafu huwa ana maneno ya kukera kishenzi akisindikiza na picha ndani yake...ukiwa na moyo mdogo unaweza ukamtukana usipokuwa mvumilivu
ile picha ilikuwa inaudhi sana. Nilikuwa nasubiri tu tukutane nao tuwanyuke tuone flano ataishia wapi na kapicha kake. na kweli sasa huwezi kukaona kale kapicha humu
Hivi manjesta ,hii timu ina kocha kweli?
Hatuna kocha wa mpira bali tuna mwalimu wa nidhamu, kama unabisha muulize Sancho ndie atakuelewesha vizuri.Hivi manjesta ,hii timu ina kocha kweli?View attachment 2799179
Yule anafirwa sio anafira, yule marinda hana ndio mana wakamtimua, yeye na ode dugu moja. Au mnateteana?Acha uongo, wapi alikufira?
Arsenal wenyewe walimwambia arudi ,hawezi kuitwa halafu anakaa benchi tu