[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe Paroko nae hua anatukana?Hao ndo maana Hamis anawashushia matusi
Tulia wewe nyumbu, hizo kenge kichwani zina funza zinajaza uharo humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe Paroko nae hua anatukana?
Mbona anajinadi sana humu kua yeye ni mtakatifu?
Masingeli ukuje ujibu tuhuma humu toka kwa Arsenyau mwenzio.
Wewe unanijua kitambo ,ukiona nimetukana kwanza umefika mbali pili ubinadamu umenishinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe Paroko nae hua anatukana?
Mbona anajinadi sana humu kua yeye ni mtakatifu?
Masingeli ukuje ujibu tuhuma humu toka kwa Arsenyau mwenzio.
Flano we jamaa mnafiki sana. wewe kila mwana arsenal anayegombana na mwenzake, asiyekubaliana na hamis77 au Aaron, asiyemkubali Kai na Arteta, wewe ndiyo mshikaji kwako. Kukiwa na amani humu wewe hutaki kabisa ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilikua najiuliza mwanangu Will Jr siku hizi ameokoka mbona hili jukwaa kama limeanza kustaarabika.
Ila Will kwa Castr unamkosea sana, katika mashabiki wa Arsenal ninaowakubali Castr ni mmoja wao jamaa yuko very matured, hua tunataniana kimpira lakini sijawahi kumuona anaongea lugha za hovyohovyo humu ni mtu ambae anajiheshimu hata sisi mashabiki wa timu nyingine tunamheshimu sana.
Will Jr siku ukijisikia kuchachuka mtafute Masingeli[emoji23][emoji23][emoji23] ndio uende nae toe to toe maana na yeye uhuni anaujua, ila watu watakatifu wenye kaliba ya Castr ni kujitafutia laana tu na madhambi mbele za bwana.
#Arsenyo Kondoo
#Nketiah kiatu
#Kai Balon D'or
Tunajitahidi. Hapo kwa back 3, wangefanya iwe back 4 ili hapo kwa Dias aingie na Magwaya piaEndelea kuongea pumba ,mwaka huu mpaka muende nafasi ya 15 ili uache kuropoka humu jukwaa la Arsenal ya maziwa na asali
Pale ukengeni mchezaji gani anaweza kuingia hata Top 200 ya Ballon d'Or?
Arsenal tunawachezaji watatu most valuable duniani narudia Duniani
NOTE: CHELKENGE MSIMU HUU MTAGOMBEA KUSHUKA DARAJA
View attachment 2798683
Nijulisheni wazee...ina maana kina adidas, visit rwanda na sponsors wengine huwa wanatega eneo hili tu kwenye haya mabango? inaelekea kunegotiate sponsorship deals kuna mambo mengi. Unaweza kuta sponsor akitaka aweke logo kila zionekane bango zima, analipa zaidi. Hivyo wanajiset tu maeneo ya nyuma ya vichwa vya makocha, ambapo wanajua camera zitazoom. Naanza kuona kuwa suala la visibility kwenye hii biashara si mchezo mchezo, ni suala serious sana.
View attachment 2798870
Kesho Newcastle wakiwababua ,Mnamfukuza kocha?Ila hili jukwaa raia hazipendi amani[emoji23]
Huyu ni nketia mwenye nguvuHojlund angekuja Arsenal angeonekana mtu sana
Teh Hag bado yupo sana ana full support ya bodi labda Sir Jim asimhitaji baadae. Au ili afukuzwe maybe tuburuze mkia UCL na kwenye ligi tupotekee vipigo back to back kitu ambacho sioni kikitokeaKesho Newcastle wakiwababua ,Mnamfukuza kocha?
Halafu huwa ana maneno ya kukera kishenzi akisindikiza na picha ndani yake...ukiwa na moyo mdogo unaweza ukamtukana usipokuwa mvumilivuFlano we jamaa mnafiki sana. wewe kila mwana arsenal anayegombana na mwenzake, asiyekubaliana na hamis77 au Aaron, asiyemkubali Kai na Arteta, wewe ndiyo mshikaji kwako. Kukiwa na amani humu wewe hutaki kabisa ππ
Halafu ilikuwaje mkapigwa 3 na mamacita? sisi marefa waliamua kuwabeba mamacita. walitunyima red card, tulipaswa kucheza na wachezaji 10 wa mamacita, ila bado tulikandamiza kila idara uwanjani na kuwapiga bao moja
π π π kabisa yaani. Jamaa ni shabiki flani proper na yuko mature kichwani. anamix nzuri ya unafiki, uchochezi, mahaba ya timu yake na uelewa kuwa mpira ni burudani tu na yeye hajistress nao. Ila anajua namna ya kukera wenzie na usipokuwa makini na mvumilivu, unamtukana πππHalafu huwa ana maneno ya kukera kishenzi akisindikiza na picha ndani yake...ukiwa na moyo mdogo unaweza ukamtukana usipokuwa mvumilivu