Kivipi au hujapenda au messsi hastahili?Tuzo zimepoteza sana mvuto I am sure hata leo hii viewers watakuwa wachache sana tofauti na miaka ya nyuma
White muhuni, kucheza chini ya Southgate tusahau kwa hivi Karibuni maana alisepa kambini kipindi cha WCNa muita silence killer..jamaa hana sura ya wasiwasi...na ile styl yake ya kucheza na kipa naikubali sana
Hakuondoka kwa kupenda, waharabu walimfukuza, inch y kiislam haipendi ufirahuni wake.White muhuni, kucheza chini ya Southgate tusahau kwa hivi Karibuni maana alisepa kambini kipindi cha WC
Wachezaji wa 28 hukoo,Halafu huwa mnajidanganya hakuna kikosi chenye wachezaji kama Arse888. Mkishinda vimechi viwili vitatu, mpk halland unaambiwa haingii kw Jesus, aisee nyie kondoo mmerogwa.Bukayo Saka has come in 24th in this year’s Ballon d’Or rankings.
Martin Odegaard was 28th.View attachment 2798244View attachment 2798245
Ufirauni upiHakuondoka kwa kupenda, waharabu walimfukuza, inch y kiislam haipendi ufirahuni wake.
Huo muda sina, leo nlitaka nikuoneshe kuwa wewe ni juha afu huna unachojua. Nilishakwambia huwa sipotezi muda na nguvu kubishana na mjinga, sasa nataka nikuoneshe muda unamfunza vipi mjinga. Siwezi kuwa na obsession na wewe choko kwa kipi hasa, nakufunza next time uache uchoko. Yani unaandika km unajua afu hujui, leo nlitaka nikupe ushahidi wa ujinga wako
Hili boya castr kuna kipindi westham akiwa anacheza linanitag eti will Jr tukae tumuangalie Rice ubora wake, nikawa najiuliza huyu vipi, yani niache kufanya ishu za msingi nimuangalie Rice kukuridhisha we fala kisa eti tubishane.
Tulishasema mtu apigwe kutokana na uwezo wake, kama hujui upigwe tu, wanafki wa Arsenal kuisupport united wote kimya, yani upo serious unasema united ashinde dhidi ya City! Hujui mpira wewe? Au ndio miujiza ya kwenye bible?
Endelea kuongea pumba ,mwaka huu mpaka muende nafasi ya 15 ili uache kuropoka humu jukwaa la Arsenal ya maziwa na asaliWachezaji wa 28 hukoo,Halafu huwa mnajidanganya hakuna kikosi chenye wachezaji kama Arse888. Mkishinda vimechi viwili vitatu, mpk halland unaambiwa haingii kw Jesus, aisee nyie kondoo mmerogwa.
Acha uongo, wapi alikufira?Hakuondoka kwa kupenda, waharabu walimfukuza, inch y kiislam haipendi ufirahuni wake.
Oya Mimi kutukanana ngumu sana labda uvuke mipaka na Mara kadhaa huwa na ignore ,Nilikua najiuliza mwanangu Will Jr siku hizi ameokoka mbona hili jukwaa kama limeanza kustaarabika.
Ila Will kwa Castr unamkosea sana, katika mashabiki wa Arsenal ninaowakubali Castr ni mmoja wao jamaa yuko very matured, hua tunataniana kimpira lakini sijawahi kumuona anaongea lugha za hovyohovyo humu ni mtu ambae anajiheshimu hata sisi mashabiki wa timu nyingine tunamheshimu sana.
Will Jr siku ukijisikia kuchachuka mtafute Masingelindio uende nae toe to toe maana na yeye uhuni anaujua, ila watu watakatifu wenye kaliba ya Castr ni kujitafutia laana tu na madhambi mbele za bwana.
#Arsenyo Kondoo
#Nketiah kiatu
#Kai Balon D'or
Kiongozi kwani hujui kama kikosi chenu hapo players zaidi ya watatu they are a little of to the side? I mean they are foofy, up to the knucke. Yaani they are backwards mechanic, they like to play in the dirty!!!!Ufirauni upi
Acha uongo, wapi alikufira?
Arsenal wenyewe walimwambia arudi ,hawezi kuitwa halafu anakaa benchi tu
Oya sijatukana ,umemskia anachosema Mkohoti ,eti Ben White Ni firauni, ndio nimemuulizaMasingeli acha matusi basi, watu tunakemea matusi humu halafu wewe badala ya kusimamia nidhamu ndio unaanzisha matusi shame on you.
Umenisahau na mm mkuu😀😀😀...huwa nna ustaarabu sana ila napenda kubishanaMasingeli acha matusi basi, watu tunakemea matusi humu halafu wewe badala ya kusimamia nidhamu ndio unaanzisha matusi shame on you.
Ungemuuliza kwanza ufirauni wa Ben ni upi?Oya sijatukana ,umemskia anachosema Mkohoti ,eti Ben White Ni firauni, ndio nimemuuliza
Sisi Wana Arsenal tunajua White hapendi kuitwa halafu hapewi dk ,ndio maana aliondoka NT,
Sasa huyu Mkohoti inabidi ajibiwe Kama alivyokuja
Haina haja ya kumuuliza ,sio Mara ya kwanza ,wapo watatu ,mwingine yupo hapo juu kashajitokezaUngemuuliza kwanza ufirauni wa Ben ni ipi?
Sasa wewe ndugu yangu moja kwa moja unaongea mineno ya ukakasi humu si bora hata ungetumia tafsida, mnatukwaza sana sisi watu wazima wenye heshima zetu.
Umenisahau na mm mkuu...huwa nna ustaarabu sana ila napenda kubishana
Unaona Sasa unamuita mwenzio chawa kisa hakubaliani na mawazo yenuwewe ni mbishi haswaaa ila ubishi wako ni ule wa uchawa uliopitiliza kwa masingeli pamoja na utani wa jadi.
Kwenye majibizano ya wenyewe kwa wenyewe yale ya kutoleana maneno machafu na kuvunjiana heshima hua unajiweka mbali.
Mpira ni burudani(furaha) sasa pale unapoona burudani inageuka kua tafrani na karaha kwa matusi na dharau ni bora kukaa pembeni.
Haina haja ya kumuuliza ,sio Mara ya kwanza ,wapo watatu ,mwingine yupo hapo juu kashajitokeza
Ndio maana nimeenda direct kumuuliza Kama alifanyiwa huo ufirauni ,
Halafu wote Ni Chelsea fans ndio huwa wanasema hivo
So inabidi kwenda nao hivo hivo kiulalo ulalo huku tunasubiri washushwe daraja