Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huo muda sina, leo nlitaka nikuoneshe kuwa wewe ni juha afu huna unachojua. Nilishakwambia huwa sipotezi muda na nguvu kubishana na mjinga, sasa nataka nikuoneshe muda unamfunza vipi mjinga. Siwezi kuwa na obsession na wewe choko kwa kipi hasa, nakufunza next time uache uchoko. Yani unaandika km unajua afu hujui, leo nlitaka nikupe ushahidi wa ujinga wako
 
Hili boya castr kuna kipindi westham akiwa anacheza linanitag eti will Jr tukae tumuangalie Rice ubora wake, nikawa najiuliza huyu vipi, yani niache kufanya ishu za msingi nimuangalie Rice kukuridhisha we fala kisa eti tubishane.
 
Tulishasema mtu apigwe kutokana na uwezo wake, kama hujui upigwe tu, wanafki wa Arsenal kuisupport united wote kimya, yani upo serious unasema united ashinde dhidi ya City! Hujui mpira wewe? Au ndio miujiza ya kwenye bible?
 
😂 Unajitahidi unishushe kwenye level yako ya matusi siyo? 😂😂

Huo muda unao ndiyo maana una mafile yangu. Kama una kazi nionyeshe kazini kwako nikuombee uwe unatoka mapema ili muda utoshe zaidi. Kama huna kazi please stop kukusanya mafile, wajua ni haulipwi? Unless kama unaishi kwenu au kwa shemeji na huna mpango wa kutoka ila tafuta kazi ukipata utaendelea kukusanya mafile.

Ndugu mfuatiliaji, mimi siyo choko. Kama unaweza kunipa namba ya dada yako nikabidhi, au kama wewe mwenyewe ni binti na una chura nijibu tu nitakuja PM.
 
Name: Ten Hag
Hype: Klopp
Hair cut: Pep Gurdiola
Expectations: Sir Alex Ferguson
Attitude: Mourinho
Reality: Ole gunnar solskajar
Unamkosea heshima ole gunar

Ten hag alifeli interview pale Spurs

Kilaza Darren Fletcher wa manjesta ndiye akampitisha pale manjesta

For the first time nilimkataa ETH Last season vs Arsenal pale OT wanatufunga 3-1 , kwa mpira wa ujanjaujanja halafu akasema Arsenal haistahili kuongoza Ligi ila manjesta,na ndio mechi niligundua Anthony wamepigwa japo alifunga


Msimu mzima alitembea na form ya Rashford ,ile ilikuwa kama Jambazi kutembea na hirizi siku ikipotea anadakwa ,ndicho kimetokea Rashford kurudi default settings,na ETH kaumbuka kumbe hakuwa na mbinu .


 
Will Jr na Castr

Stop it brothers, we are all the gunners,
uzuri ni kwamba huwa tunafatilia vyote mnavyoandika. Na mnaongeaga vitu sensitive Sana vya soka na kutupa updates za players ambao wapo vizuri

Yes mmeleteana challenge, tuseme it's over.
respect us
respect the arsenal

#COYG
 
Kweli Kaka ,shukran kwa kuweka Hali sawa
 
Arsenal wanataka kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace Marc Guehi, kwa mujibu wa @TheSunFootball.

Lakini inadaiwa kuwa mchezaji huyo wa raia wa Uingereza hatokuwa sokoni hadi dirisha kubwa la usajili.

Mikel Arteta anahitaji kuimarisha safu ya ulinzi, unalionaje hili?
 
Mimi naona middle ndio kuna shida, ukizingatia partey na majeraha ya kujirudia

Kuna mtu humu alisema zubimeida ni partey mweusi au bosquet

Pia Fofona nae ameibuka hivi karibu huyu tunaambiwa ni partey na Yaya Toure

Profile moja hapa itue Gunner.
 
Duh! Kama kanauwasha moto huu na ndio kamerudi kutoka majeruhi ya miezi 8, ni kazuri, kale ka musiala kanajua ball ila kanapenda soka la gombani goli, anao anao saana.
Huyo dogo ni Fundi Sana,anaelekea Bayern huyo ,Musiala amegoma kusaini anataka aende Madrid


Florian anajua Sana alipata ACL akakaa miezi 8 nje ndio amerudi


Halafu Alonso anafundisha modern football,anaenda Madrid ,Don Carlo akienda Brazil NT
 
Mimi naona middle ndio kuna shida, ukizingatia partey na majeraha ya kujirudia

Kuna mtu humu alisema zubimeida ni partey mweusi au bosquet

Pia Fofona nae ameibuka hivi karibu huyu tunaambiwa ni partey na Yaya Toure

Profile moja hapa itue Gunner.
Partey na Jorginho replacement zao had summer , January tunahitaji Winger mmoja na beki mmoja inatosha
 
Nifuraha kuwaona wachezaji wetu watatu wapo kwenye most valuable players squad
 
Baada ya ushindi dhidi ya Manchester United, Pep Guardiola alikiri kwamba kushindwa dhidi ya Arsenal kulitokana na yeye kutafsiri vibaya nia ya Mikel Arteta:


“Kuhusu Arsenal, walishinda kwa sababu ni timu yenye uchezaji mzuri. Lazima niseme kwamba mpango wangu wa kimbinu kwenye mechi hiyo haukuwa na tija.

"Tulitumia mbinu tofauti [dhidi ya Arsenal] kwa sababu nilifikiri nafasi ingefunguka katika nafasi nyingine na lazima nikubali kwamba mpango wangu haukuwa mzuri [katika mechi hiyo]."

Labda haya ndiyo maoni ambayo yanaonyesha kwa usahihi mtindo wa uchezaji ambao Mikel Arteta anajaribu kujenga Arsenal msimu huu.

Mikel Arteta anataka kufanya mtindo wa uchezaji wa Arsenal kutotabirika na hatua kwa hatua anafikia lengo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…