Ana roho mbaya hyu bwana mdgo kutoka PolandHuyu kiwior ni bonge la player, amechangamka sana uwanjani
Mkifungwa kesho niulizwe mm🤠🤠...kesho mnashinda mchana kweupeSisi na Chelsea ni ndugu tena wa damu kabisa, itakua ni usaliti wa hali ya juu nikimuacha ndugu yangu Mkohoti akalia peke yake.
We laugh together, we cry together. View attachment 2795930
Mashabiki wengi wa Arsenal hatujiamini, hatujikubali, tujiona wachambuzi na technicians kuliko Manager na bench lake la ufundi!
Unajua Mancity alistruggle Sana had dk ya 88 ndipo walipata ushindiOur opponent today, ni timu ndogo (bottom of the table) usjione kama tumefanya kazi kubwa kuuangusha mpapai
Nimefurahi Sana kuwaonaFabio Vieira , Smith Rowe
Hawa madogo nawakubali mno.
Katika jicho la mpira hawa watu watakua moto Sana
Angalia one two one two za Smith
Angalia michezo ya positional play anayoicheza Vieira
Kuongezea tu Spurs alishinda goli mbili dk za nyongeza...mpk dk ya 90 walikuwa wanaongozwa goli 1 na Hawahawa watoto...Unajua Mancity alistruggle Sana had dk ya 88 ndipo walipata ushindi
Uliangalia vs manjesta alivyokuwa anakimbizwa na Sheffield hasa first half?
Kilichofanyika leo Ni wachezaj kuichukulia serious mechi
Kabla ya mechi Øde alisema maneno haya
Martin Ødegaard
"We have to treat this as a Champions League game as well. That’s the mindset we need, because every team in the Premier League will give you a big fight."
Bado mashabiki tunadhani Arsenal Ni sawa na butua butua ya manjestaKuongezea tu Spurs alishinda goli mbili dk za nyongeza...mpk dk ya 90 walikuwa wanaongozwa goli 1 na Hawahawa watoto...
Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv🤠🤠🤠...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwaArteta says Odegaard has been playing with an injury in recent weeks.
"Martin has been carrying a little thing that has not been very comfortable." #AFC
Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwa
Msemaji wao anasema walianza na ratiba ngumu sana....akatuaminisha Sasa ndo wataanza kushinda rasmi...watu wazima tukimuambia wao bdo watoto wadogo anajibishana na sisi hmu....UEFA ndo anaenda kutoka na ligi kuu ndo anazidi kudondosha points...wa kuwaangalia kwa jicho la tatu safari hii ni Aston Villa...vijana wanaubonda kwlikwli tofauti na Hawa wafukuza upepo Nyukesto🤠🤠🤠Newcastle akijitahidi Sana safari hii atacheza conference league
Astonvilla niliwatabiria makubwa Sana msimu huuMsemaji wao anasema walianza na ratiba ngumu sana....akatuaminisha Sasa ndo wataanza kushinda rasmi...watu wazima tukimuambia wao bdo watoto wadogo anajibishana na sisi hmu....UEFA ndo anaenda kutoka na ligi kuu ndo anazidi kudondosha points...wa kuwaangalia kwa jicho la tatu safari hii ni Aston Villa...vijana wanaubonda kwlikwli tofauti na Hawa wafukuza upepo Nyukesto
Ila kesho Manunu naomba washinde🤠🤠...itakuwa ni nafuu kubwa sana kwetuAstonvilla niliwatabiria makubwa Sana msimu huu
Kenge fc ana mech 8 dume, had kufikia mechi ya 18-19 akiwa ndani ya top 10 Basi wao wanaume
Kufikia mech ya 18-19 ,Kenge FC watakuwa 13-17
Nyumbu fc hawa mwaka huu top 7 hawagusi maana hawana uwezo wa kuwachomoa Arsenal city Spurs Liverpool, Brighton Astonivilla na Newcastle
Kifupi nyumbu hizi wiki 2 alikuwa honeymoon, now anarudi kwenye vipigo vitakatifu Hadi nafasi za 8-12