zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,232
- 39,798
Najua mkuu kaangalie post zangu za last season nilisema kabisa hatuwezi shinda title sababu tuna squad depth ndogo hivyo akiumia beki mmoja tu msimu umeisha na ndio ilitokea pale Saliba alipoumia.nilivyokua najua unauelewa wa football kumbe unaogopa mchezaji kucheza saana ili asiumie duuh???
Mkuu kuna correlation kati ya minutes played na recurring injuries kaangalie Ansu Fati, Pedri, Wilshere, Dembele, Diaby, n.k hawakuwa managed vizuri kwenye dakika wanazocheza wakiwa vijana wadogo ikaua kabisa miguu yao. Hii ni fact wala sio maoni binafsi.Anaepaswa kucheza acheze na atoe A perfomance sio swala la kupumzishana kisa kuhofia kuumia
Training sio high intensity kama mechi unayopambana na rival ndio maana injuries za uwanjani ni nyingi kuliko kwenye training hii pia ni fact sio maoni yangu.Kama kuumia wachezaji wanaumia hata mazoezini
Oi ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha kujipa false hope, kesho Man Utd tunachezea goli za kutosha tu, kama vipi njoo na kikapu chako.
Kesho mnashinda...hutaamini🤠🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha kujipa false hope, kesho Man Utd tunachezea goli za kutosha tu, kama vipi njoo na kikapu chako.
Narudia statement yangu Nketiah ni MBAHATISHAJI ni kupwa kujaa anaweza akascore game 3 mfululizo then akaenda 5 to 10 games bila kuwa na assist wala goals so Nketiah kufunga leo sio ishu nikikuuliza Nketiah aliscore mwisho lini unaweza usikumbuke tunahitaji mtu wa kuoffer something kwenye team yetu kama walivyo wenzakeMagoli yamepatikana Kaka, tumwamini kocha, tuiamini timu na tujiamini sisi wenyewe.
Kama Odegaard katumika, je Modric au Toni kroos wasemaje?Ametumika Sana ,anahitaji kupumzika
Hawa wachezaji sio maroboti
Game ilikiwa nyepesi, kocha kaitumia kutuma ujumbe kwamba hakuna mchezaji mwenye nafasi ya kudumu, uki underperform unakaa nje.Kafanyaje kwani??
Nao Kuna muda walikuwa wanapata rotationKama Odegaard katumika, je Modric au Toni kroos wasemaje?
Arteta says Odegaard has been playing with an injury in recent weeks.Game ilikiwa nyepesi, kocha kaitumia kutuma ujumbe kwamba hakuna mchezaji mwenye nafasi ya kudumu, uki underperform unakaa nje.
Yaani acha tu aiseeMashabiki wengi wa Arsenal hatujiamini, hatujikubali, tujiona wachambuzi na technicians kuliko Manager na bench lake la ufundi!
Yaani acha tu aisee ,hatuiamini timu yetu ,Sasa tofauti yetu na nyumbu Ni ipiMashabiki wengi wa Arsenal hatujiamini, hatujikubali, tujiona wachambuzi na technicians kuliko Manager na bench lake la ufundi!
Sijapinga mpishanano kwenye kikosi ila Mbona wachezaji wa timu zingine wanakamua tu toka tuwajue , huyu Rice toka umjue alipumzika lini kaka, ila kaja Arsenal game hata 20 hazijafika watu wanaomba apumzishwe.Kuna mda inabidi wapumzike, ligi ni marathon nadhani Arteta amegundua hilo
Hiki ndo niliitaji kuandika ila umeshaandika nimekuelewa,Kama Odegaard katumika, je Modric au Toni kroos wasemaje?
Huyu kiwior ni bonge la player, amechangamka sana uwanjaniNao Kuna muda walikuwa wanapata rotation
Lakin pia Sion tatizo ,nimefurahi kumuona Kai as RCM
Nimefurahi kumuona Fundi mmoja na nusu Smith Rowe
Nimefurahi kumuona Polish Maldin Jakub Kiwior