Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I like to see Kai as RCM

Midfield ya Leo

Kai Rice Rowe

But sijajua Nani atakuwa RCM na LCM


Moja ya nafasi nyingine ya Kai Ni RCM , anaijua vzr kuliko LCM

Smith Rowe pia Ni LCM na RCM
Nasubiri evaluation yako kaka ya Kai as RCM
 
Sawa utaelewa wakianza umia hapo January. Squad depth ni muhimu ndio maana Man City hawashikiki maana wanaweza pumzisha first 11 nzima na usione tofauti!!
Yan nilivyokua najua unauelewa wa football kumbe unaogopa mchezaji kucheza saana ili asiumie duuh???

Kama kuumia wachezaji wanaumia hata mazoezini

Anaepaswa kucheza acheze na atoe A perfomance sio swala la kupumzishana kisa kuhofia kuumia
 
Yan nilivyokua najua unauelewa wa football kumbe unaogopa mchezaji kucheza saana ili asiumie duuh???

Kama kuumia wachezaji wanaumia hata mazoezini

Anaepaswa kucheza acheze na atoe A perfomance sio swala la kupumzishana kisa kuhofia kuumia
Kuna mda inabidi wapumzike, ligi ni marathon nadhani Arteta amegundua hilo
 
Wadau mnalalamika jaman

Sheffield, Burney, na type ya timu hizo kwa Arsenal hii sio timu za kutusumbua ,Sisi sio Manjesta iliyopakishwa Basi na Sheffield , Burney


Rotation muhimu wachezaji walianza kupata fatigue

Hata Saka bado hajarejea vzr


Kai Leo kacheza role ya Ødegaard

Raha ya timu yetu wachezaji wengi wanapiga namba karibu tatu tatu

Kai anaua LCM,RCM na CF

Smith anaua LCM,LW na RCM

Viera anaua LCM na RCM


Kuna mechi za wapiga Domo next week ,jumatano tuna CARABAO Cup na Westham

Tunayataka mataji yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…