Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea vs Liverpool ilikuwa first game ya msimu wa EPL
 
Naona tumehusishwa tena na Zubimendi, tushushe hiki chuma hata January

Kisha kuna Take Kubo, kwa mnaofatilia anaweza kuwa back up ya Saka?
 
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal losing Gabriel Jesus and Thomas Partey again for “few weeks”

“For Gabriel Jesus, the scans show there’s muscle injury and we might lose him for a few weeks again — can’t predict how long as he can always surprise us”.

“Thomas Partey has got a muscle injury on Tuesday and we expect him to be out for a few weeks”.
 
Zubimendi nimemuandika humu msimu wa usajili uliopita naona Twitter wamecharuka kumjadili kwamba tunamhitaji smh
 
Set to miss Jesus and Partey for couple of weeks
Jesus anapumzishwa kwa week moja kupunguza risk coz tunamhitaji zaidi huko mbeleni.

So atakosa mechi ya kesho vs Sheffield (H) ambayo sio serious na ile ya Carabao vs West Ham (A) ambayo hata angekua fit angepumzishwa/angecheza dakika chache coz ile ni michuano ya watu kama Nketiah/Havertz kuboresha uwezo wao.

Matarajio atarejea next week vs Newcastle (A) kwa sababu ya ile quote ya Arteta kusema 'Jesus hakawii kutushangaza'.
 
Itabidi Arteta aingie sokoni atafute mbadala wa Partey.Huyu jamaa atupishe tu kwa kweli sababu pancha Zinamuandama Sana.
DCMs wanaocheza kama Partey ni wachache sana lakini replacement yake haikosekani sokoni.

Douglas Luiz, Zubimendi, Yossouf Forfana, Joao Palhinha, Cheick Doucore, n.k.

Huyo Zubimendi ni upgrade kabisa ya Partey kwa soka la sasa
 
Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
 
Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
👉Hizi sasa ni comedy. Meza ipi hiyo unaiongelea au meza ya kukaa mechi ishirini bila EPL, meza ya kukaa miaka 7 bila kumaliza top 4, meza ya kuwa na 0 European trophy.

👉Tofauti ya Arsenal na Spurs ni jezi tu . Unasema huwaamini spurs ila unaiamini Asenane?
 
Zubimendi nimemuandika humu msimu wa usajili uliopita naona Twitter wamecharuka kumjadili kwamba tunamhitaji smh
Hahahaha, yule dogo NNT anajikuta anajua boli kuliko yeyote wakati ni famba mmoja tu

Take Kubo unamuonaje?
 
Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
Kama vile bahati ilivyotukuta sisi last season tukamaliza nafasi ya pili?
Ni kweli S-ppu***sy hawana timu ya ku-compete ubingwa this season?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…