Kabisa mkuu.Me pia mara kadhaa nimewaza hili jambo especially kama Partey hayupo, Rice anarudi dimba la chini then Zinny aende LCM.
Namuona yuko lethal na kwa uzoefu wake kama defender atatupa more pressing advantage in case we loose possession.
AKili za Hamis masingeli hizo.Mc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa?
mna hangaika kweri, hamis anawapa nini uko au ana wafanya nini maan mnamapenzi ya dhati nae kwer yaniMc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa?
Sema jamaa ana kipaji cha ushawishi. anakwambia Havertz anacheza mpira dunia ya sasa hakuna, wakati mi huwa namuona anarukaruka tu uwanjani. tulimshauri aanzishe kanisa.AKili za Hamis masingeli hizo.
Anaficha ukweli kuwa usajili wa Havert wamepigwa.Sema jamaa ana kipaji cha ushawishi. anakwambia Havertz anacheza mpira dunia ya sasa hakuna, wakati mi huwa namuona anarukaruka tu uwanjani. tulimshauri aanzishe kanisa.
Sijui anawapa nini hii mikondoo mpk inapelekwa pelekwa.mna hangaika kweri, hamis anawapa nini uko au ana wafanya nini maan mnamapenzi ya dhati nae kwer yani
Unahangaika na Arsenal duhTrust me na msimu huu wanatoka patupu, na msimu ujao kama kawaida atawashikia akili tena, na watajaa tena. Kiduara
Pale wamepgwa mchana kweupe, ndio mana Arteta ameshashtuka amuanzishi. Ila masingeli atakwambia Havertz amechangia upatikanaji wa goli hata kama mpira umeshapita kw watu wanne kabla ya goli😂😂😂Anaficha ukweli kuwa usajili wa Havert wamepigwa.
Anakwambia Havert ni mzee wa Aerial duel😄😄😄
Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.Unahangaika na Arsenal duh
Wakati huo chelkenge hata ndoto zakuingia top 7 hauna
Unahangaika na timu ambayo ipo nafasi za juu
Tukisema mna matatizo ya akili tutakuwa tunaosea?
Usijilinganishe na Arsenal ,tayari Nina kikombe kabatini ,au hujui hiloUpo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
Utamaliza juu ya Manunu ukijitutumua😀😀😀...tena ni nafasi ya 8....Huna uwezo wa kuishusha Nyukesto...Aston villa wala Brighton pale juu...sasa jumlisha na wale wanne wa juu pale...unapata saba...hzo nafasi 7 hugusi...ww ni 8 au 9 kabisa...unabisha...haka karatiba kenu katawapa majibu vzuri....mkijitahidi mtapata points 4 kwny hzo mechi....bdo mnajitafuta sana ndugu zetu....Upo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
Unajibishana na mtu ambaye kiwanja Chao cha nyumbani ni kama kiwanja chetu cha mazoezi...kila tukienda tunaondoka points...sasa hyo ni wa kupigizana naye kelele...bora Flano aje kujaza nzi hmu sio hyuUsijilinganishe na Arsenal ,tayari Nina kikombe kabatini ,au hujui hilo
Wewe unagombea kushuka daraja ,hata kucheza conference huwezi kupata hiyo nafasi
Kwa ratiba yenu ilivo baada ya mechi 8 mtakuwa mnapambana na kina Luton Nani abaki kwenye Ligi
Nakushangaa unabwabwaja humu
Weekend hii tu ukijitahid sana Sare View attachment 2793780
🎷🎷Masingeli wamempenda wenyeweeMc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa