Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbukumbu kwa picha kuwa tushawahi kukipata kijikomba cha UEFA CUP WINNERS CUP.

Tarehe 4 MAY 1994. Ni kitu kidogo tu ila itapunguza kelele za wale wasemao 'hata West Ham wana conference...'

View attachment 2793265
UEFA Cup Winners' Cup makombe ya kipuuzi hayo, Uefa yenyewe baada ya kuona huo ni upuuzi wakayafutilia mbali msimu 1998 - 1999 na kuhimiza rekodi zote za hayo mashindo zifutwe maana wao kama Uefa hawazitambui.
HENRY14 tokea mwaka 1999 baada ya kamati ya Uefa kutangaza kuyafuta na kutoyatambua hayo mashindano ya Cup winner's cup ulishawahi kusikia timu yoyote barani Ulaya inayazungumzia au kujifaharisha nayo?
 

Hayakufutwa, ni shindano lililomezwa na UEFA CUP/EUROPA, na rekodi zipo pale pale. Ni kama ukioa mke na kumpa ubini wako, haimaniishi kuwa ubini wake yeye umepotea.

Sasa je mtamrudisha De Gea kweli Onana akienda AFCON? Acheni roho mbaya. De Gea ni mgumu kumfunga na muacheni apumzike.

 
ingia kwenye official website ya Uefa/Europa halafu angalia winner's wote wa Europa uone kama Arsenyau wameorodheshwa

Masingeli mwenyewe anatambua kua hilo kombe la wakuna Nazi lilifutwa na record zake zote zikateketezwa kwa moto kisha jivu lake likaenda kutupwa baharini.
Ndio maana mpaka leo hii zikiorodheshwa timu zilizo shinda mashindano ya Ulaya Masingeli hua anajikunyata kama kitoto cha paka kilicho mwagiwa maji.
 
Hearing Albert Stuivenberg is moving to Ajax as head coach. This will be a huge setback guys.

For those who don't know he is Arteta’s right hand and Arsenal assistant coach. #Arsenal #AFC #Apoz
 
Hearing Albert Stuivenberg is moving to Ajax as head coach. This will be a huge setback guys.

For those who don't know he is Arteta’s right hand and Arsenal assistant coach. #Arsenal #AFC #ApozView attachment 2793306
Hiki kijamaa ile mechi Man City alobebwaga pale Emirates kipindi rodri anafunga goli la ushindi ndo kilikuwa touchline pale kina manage timu...pengo sijui litazibwa na nani
 
Hearing Albert Stuivenberg is moving to Ajax as head coach. This will be a huge setback guys.

For those who don't know he is Arteta’s right hand and Arsenal assistant coach. #Arsenal #AFC #ApozView attachment 2793306
I'm all for career advancement. All the best to him.
Sasa sisi tumlete Klopp wa Liverpool aje kuwa assistant wa Arteta 😀😀😀
 
ila Masingeli una ujinga mwingi sana aiseeee ndugu yangu,
Msimu wa 2021 - 2022 ulikua unajitapa na kujivunia Clean sheets huku ukituzodoa Man Utd hatuna clean sheet yoyote, halafu mwisho wa msimu wote mwenye clean sheet nying na asie na clean sheet tukaenda kucheza Europa

Msimu uliosha ukawa unajitapa na unajivunia record ya kukaa top on the table kwa siku nyingi 258
mwisho wa msimu wewe uliekaa top on the table kwa siku 258 ukashika nafasi ya 2 halafu Man Utd ambao hatujawahi kukaa hata mara moja kwenye top on the table tukawa nafasi ya 3 halafu wote tumeenda Uefa.
Leo hii umeanza tena kuwapa wenzio false hope kwa rekodi ya unbeaten halafu mwisho wa msimu unawakimbia wenzio na kuwaachia msala wa kujibu maswali kuhusu imekuwaje unbeaten inamaliza ligi mikono mitupu

Inabidi sasa tuongee na bodi ya PL waanze kutoa na makombe ya Clean sheet, top on table, unbeaten, pressing & overloading pamoja na makombe ya kuwin aerial duel
 
7hag Nani alimpa Cheti Cha kufundisha Mpira?

 
@FabrizioRomano:

“Takehiro Tomiyasu is another player earning praise for his recent performances and although I don’t currently have any information on the possibility of a new contract soon, Arsenal are very happy with his performances,”

“I can also reveal that Inter Milan wanted Tomiyasu in July but Arsenal said no; Mikel Arteta and Edu wanted to keep him and it was clearly a successful decision, he’s really appreciated at the club and is really showing his value and versatility at the moment.”(@caughtoffside)
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini 7 hag anamzidi uwezo kikocha

Ole gunar sosha
Malale hamsini
Juma Mgunda
Meja Jenerali mingange
Pastor Athanas wa Gwambina
Frank Lampard
Graham Potter
Michael Carrick
Wayne Rooney Waza
 
Gabrieli Jesus

"Siku zote huwa naenda kwa mabeki - Gabi, Saliba, Ben, Zinchenko, Tomiyasu, hata kipa - na nasema:

'Sikiliza, unapotaka kupiga mpira, niangalie kila wakati. Ikiwa huwezi kuangalia kwa sababu ni haraka, weka katikati, nitakuwa hapo.'"



 
Ian Wright on Tomiyasu

“He’s so reliable, his strength, positional awareness, when he gets on the ball he has no problem passing the ball progressing it.

It’s very rare you see anyone get past him, he’s just a dependable player, 8/10 every week.”
 
Trust me na msimu huu wanatoka patupu, na msimu ujao kama kawaida atawashikia akili tena, na watajaa tena. Kiduara
 
Zinny ataweza kwenda LCM Kwa Xhaka kule

Me pia mara kadhaa nimewaza hili jambo especially kama Partey hayupo, Rice anarudi dimba la chini then Zinny aende LCM.

Namuona yuko lethal na kwa uzoefu wake kama defender atatupa more pressing advantage in case we loose possession.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…