Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Newcastle 😁😁😁😁
Yule jamaa yetu wa Nyukesto anayetupigiaga kelele hmu...mwambieni mechi ijayo anaenda geto kwa washkaji hawahawaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...kelele nyiiingiii...utadhani ana timu ya kueleweka..kumbe wafanya jogging tu....atamaliza hili kundi na Point 5....
 
Ila hii depth ni ndogo sana mkuu maana white au Saliba akiumia yatatukuta yale ya last season baada ya game ya sporting!!
 
Ila hii depth ni ndogo sana mkuu maana white au Saliba akiumia yatatukuta yale ya last season baada ya game ya sporting!!
Yah tunahitaji RCB mmoja na urejeo wa Timber itakuwa Kama usajili mpya

January inabidi tuongeze beki mmoja na RW mmoja
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Gabriel Jesus has told his Arsenal team-mates to believe they can go all the way in the Champions League this year.

β€œObviously it is not easy, but I think we have to believe. If we don’t believe, we cannot be here.”

 
Kila team lazima wahimizane kupambana kupata matokeo bora sasa sijui wewe unapata wapi makasiriko,mbona hivyo vitu vya kawaida kwenye kila team. Of course uwezo tunao wa kupambana na kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakuwa ni nyumbu fc au chelkenge....wana sumu ya Moyoni kwa sasa....wao wanaishi kwa history...utasikia mna uefa ngapi....mara mwaka jana mmeongoza kwa points 8 hamjachukua ndoo....sasa ni kwnda nao kimyakimya tu2πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€....yule jamaa wa nyukesto yy ndo anaamini kabisa kwmba watafika mbali UEFAπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„...akili za wapi sijui hzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…