Nyumbu ni nyumbu tuUnacheza na timu kutoka Denmark
Unamanage kuscore goli moja
Aliyescore ni mtengwa wa timu
Mashabiki wameanza kusema asiondoke
hatuchezi vizuriYapi hayo ? Mbona tunapenda lawama Sana
Leo kakosea Nini
Fanbase hii ya sasa mbona hamna jema
Tumeshinda lawama
Tukidraw lawama
Tukifungwa maafa
Arteta kajikaanga wapi?
Rowe is far behind Trossard and Vieira....atacheza tu ni suala la mudahatuchezi vizuri
hatuko aggressive
hatuko lethal
Sio lawama mzee this season so far hatuko convinsly kabisa
Kai ni lazima acheze kila game what about Rowe
???
Rowe is far behind Trossard and Vieira....atacheza tu ni suala la muda
Una uhakika hatuchezi vzr? Unaangalia mech zipi hizo aiseehatuchezi vizuri
hatuko aggressive
hatuko lethal
Sio lawama mzee this season so far hatuko convinsly kabisa
Kai ni lazima acheze kila game what about Rowe
???
Uzuri ni kwmba watu wanalalamika na bado tunashinda kwhyo hii inaonesha tumeshaweka high standard which is a good thing...January tuongeze forward pale mbele...Ili tuendelee kuwakera zaidiUna uhakika hatuchezi vzr? Unaangalia mech zipi hizo aisee
Yaan huon umuhimu wa Kai?
Unajua mech na Chelsea ,Jesus na Nketiah walishindwa kabisa kudominate backline ya Chelsea sababu ya Silva na Colwill ni warefu Sana ,had alipoingia Kai akatoa pre assist kwa saka na kuanza kuwasumbua Silva na Colwill
Usikariri ,Kai siku hizi hachez kiungo anaingia Kama CF, mechi na City ulimuona ?
Unasema hatuko aggressive, how?
Daahh wale wakina mama wa chelsea waliokua wanabwekabweka humu kimyaaa......nadhani sahizi wanapelekewa moto🔥🔥 na waume zao
Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?
Na taarifa nyngine mpe kwmba lile goli ndo mwanzo na mwsho hatakaa atufunge tena🤠🤠🤠🤠....kuelewa haya nnayoongea tukutane kwny mashindano yyte karibuni ukiachilia ligi kuu ambayo Iko mbali mpk mwakaniSasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?
Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Tutafute LCM wauhakika Sasa ,Rice akamate DM
Mudryk anapostiwa humu kutokana na Masimango ya Masingeli juu yake.Sasa ukipost picha ya Mudryk ndo una maana gani? Unadhani sisi tunashida na huyo dogo?
Tuna wachezaji bora zaidi ya huyu na wako benchi. Kutufunga na kupost humu haitufanyi sisi tuumie.. Tumefungwa na akina Nasri, Van Persie, Adebayor. Hizo moments ndo zilikua zikiuma lakini sio kwa huyu!
Kuna wadau walisema kubeba championsleague trophy ni easy sababu ya knock out stage nyieeeeeroho mkononi mamamamae sina hamu
Kuhusu huku je?MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. Jose Mourinho
5. Ole
6. Rangnick
7. Erik Ten Hag
TOTAL Premier League trophy =20
ARSENAL MANAGERS SINCE 1986
1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL Premier League trophy = 13
CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24. Emmanuel Ogbeche
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27. Hon Henry Ophori
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30. Dele Baba Dee
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34. Omo'ba Leke Adegbite
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38. Iyke Ekwensu Papiwater
39.David Livingston
40.Chimulilenji
41. Kondwani Nankhumwa
42. Grezelder Jeffrey
43. Dirisu Yakubu
44. Frank Lampard
45. Thomas Tuchel
TOTAL Premier League trophy = 6
Hao Ni manjesta na kenge fc hawajui lolote
Sevilla Leo pamoja na kukamia wamekula fimbo vzr kabisa
Wanakuja next week Emirates ,tunafuzu ,anakuja lens tunaongoza kundi
Tunaenda kumalizana na PSV kwao
Tunapasha kwa ajili ya Robo
Wale wababe wenu jana wamekula makonzi au hawajala??🤠🤠...suala la kuishia makundi sisi sahau...huo sio utamaduni wetu....unabisha angalia sasahivi msimamo wa group nani yupo pale juu...nyny Sasa ndo mnatafuta nafasi ya Ueropa maana Galatasaray na Bayern Munich ndo watafuzu kwny group Lenu....mechi za Nyumbani rahisi zishaisha....kilichobaki mkajegejwe huko ugeniniMasingeli kwa kile mlichokifanya msimu uliopita kwenye PL zimebaki mechi 8 ligi kuisha mnaongoza kwa points 8 halafu ligi inaisha mnakua mpo nyuma kwa points 8 ni bora tu ungenyamaza kwanza mpaka mfanikiwe kufuzu kwenye hatua ya makundi, hizo mechi 3 zilizobaki unaweza kufanyiwa Surprise halafu ukajipiga Ban mwenyewe kisha tukakosa kuburudika na comedy zako humu unazowapea false hopers wenzio. View attachment 2792233