Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakati game ya AC MILAN na JUVENTUS inaendelea hapa, nimekumbuka moja ya comment ya super chambuzi humu ndani. Ikabidi nii search "leao" mpaka nimeipata.

Chambuzi liliona Rafael Leao ni hamna kitu kabisa, hiyo ni March mwaka huu.
Umeangalia game moja ili kupata hitimisho? πŸ˜‚πŸ˜‚

And no mimi siyo mchambuzi au chambuzi.

Angalia tarehe ya hiyo comment. Kisha chukua stats zake kuanzia anaanza mpira mpaka siku hiyo.

Halafu chukua za siku hiyo mpaka leo.

Fananisha na hype.
 
Tawile chambuzi. Haupingwi humu.

Mnabeba treble mwaka huu
 
Sasa wewe hata ukiambiwa uwe sawa points na Arsenal ,muanze kukimbizana una huo uwezo?

Timu inayoshinda kwa kubahatisha kwa promoted teams


Msimu huu kwanza top 7 hamuingii
 
β€œWhen you cannot win, you don’t lose.”

Mikel Arteta speaking a few weeks ago.

Arsenal have played Man Utd, Man City, Spurs, and Chelsea in their first 9 games and haven’t lost any.

There’s plenty to be positive about.
 
Kubali ulizingua aloooo
Leao anajua sana
 
Arsenal’s UEFA Champions League fixture dates are confirmed.


β—‰ WED 20 SEP: π€π«π¬πžπ§πšπ₯ vs. PSV
β—Ž TUE 3 OCT: Lens vs. π€π«π¬πžπ§πšπ₯
β—Ž TUE 24 OCT: Sevilla vs. π€π«π¬πžπ§πšπ₯
β—‰ WED NOV 8: π€π«π¬πžπ§πšπ₯ vs. Sevilla
β—‰ WED NOV 29: π€π«π¬πžπ§πšπ₯ vs. Lens
β—Ž TUE DEC 12: PSV vs. π€π«π¬πžπ§πšπ₯

#UCL
 
Akikujibu kwa fact ntampongeza saaana
 
Hii wiki ni ya mpira mwanzo mwsho....kuanzia leo mpk j2....na tunawakumbusha ndugu zetu Manunu....j2 tunataka kuona kama wameanza ligi rasmi kama wanavyojitapa...
 
Mpaka leo hii bado nina hasira sana kwa kutoka sare na wale chelkenge wasiojua fc.
Acheni kujitekenya wenyewe, walioumia sare ni chelsea. Kwa game ilivyokua upande wa chelsea. chelsea kudraw ni sawa na kufungwa tu.

Mnasema Arsenal haikua bora kwnye ule mchezo, ni kwa sababu gani Arse88 wali under perform?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…