Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Invincible after playing Chelsea, Manchester United, Tottenham and Manchester City in the first 9 games.

Level on points with City at top- I will take that
 
Kai alipoingia alifanya Hilo kwenye Aerial duels

Same vs City ,Silva na Colwill warefu Sana kuliko Jesus ndio maana alihangaika
 
Mchezaji wenu ODEGAARD nataka mnikumbushe nyie Mashabiki wa Arsenal ni lini Odegaard alikuwa Stepped up na Dropped A top class performance kwenye Big Game.

Odegaard kuna muda Arsenal huwa ina muhitaji ,He goes missing far too often.
 
Sikuwahi kuwaza kuwa kwenye mechi zetu tisa (9) za kwanza za ligi msimu huu katika ratiba yetu ngumu tungeweza kuwa unbeaten huku tukiwa kileleni (joint)

 
vs. Chelsea
vs. Lens
️ vs. Bournemouth
vs. PSV
️ vs. Spurs
vs. Everton
vs. Man Utd
️ vs. Fulham
vs. Crystal Palace
️ vs. Notts Forest
vs. Man City

Bukayo Saka has RETURNED a direct goal contribution in all but one game he’s featured in this season.
 
Kwa hii comment sasa tuweke rasmi kwmba Man U na Man City ni timu ndogo sio maana wte hao tumewafumua😀😀...yaani huwa sijui mnachambua mpira kishabiki au kwa kuangalia form ya timu....tunasubiri hao kina Nyukesto sijui kina West ham tucheze nao halafu mje hmu....kama tulishikwa jana na wale wakimbiaji wenye mipango na bdo tukalazimisha draw sioni wa kutusumbua zaidi ya Liver na Brighton...nyny wengine bado watoto wadogo sana.....ukitaka kujua nnachokisema nenda kwny msimamo wa ligi halafu angalia pale juu wapo kina nani😀😀😀....subirini j4 mje kutupigia kelele tena humu
 
Kai alipoingia alifanya Hilo kwenye Aerial duels

Same vs City ,Silva na Colwill warefu Sana kuliko Jesus ndio maana alihangaika
Na ndio maana nikasema Kai acheze km CF, kucheza na Jesus / Nketiah CF kwanza wanalimit mazingira flani ya mchezo wetu tactically lkn pia sio killers infront of the goal, sasa ni bora tucheze na kai anayetupa unpredictable dynamics upfront hata km hafungi.

Jesus inabidi awe backup ya Saka from now on.
 
Wakati wenzetu wanasheherekea draw na wapo Regelation zone


️ |
Arsenal star winger Bukayo Saka on IG following last night’s 2-2 draw with Chelsea.

“Good team spirit to fight back, but we always want more.
 
Wana stats nzuri sana...mpo nafasi ya ngapi mkuu....leo Aston villa anawarudisha nafasi yenu huko chini...mkqendelee kugombana na kina Manunu😀😀😀
 
Read between the lines Ukiangalia kishabiki huwezi kuielewa hii comment
 
Chelsea B vs Arsenal A: 2-2
Tungecheza na Full team A mngelamba vumbi hadi mvimbiwe
Mjitahidi mechi ya marudiano muwe full halafu mje tucheze mkuu😀😀😀....timu mna miaka sijui 4 sijui mingapi hamjawahi kutufunga halafu mnakuja na ngonjera za kijinga hmu....hyo miaka mingine tuliyokuwa tunawatungua mlikuwa na kikosi D kabisa sio
 
Jesus acheze CF but kwa mech za kawaida, ukiangalia Silva na Colwill ni warefu Sana ,

Tungeanza na Kai CF Wala wasingemsumbua ,Kai alipoingia akiwa dominate Silva na Colwill, tukaanza kupata nafasi
 
Ila kai harvertz ana balaa, jamaa anaruka juu afu anadondosha pasi ya kichwa kwenye box, sasa mipira km ile inakutana na mtu kma Jude au Bruno G ndo ile utasikia 'watalokota wenyewe kunyamvu' ndo maana naona tunahitaji a new LCM, mtu flani anayeweza kuattack the box kwa haraka, technical, physical na ball striking kwa sana.
 
“I think the first half is probably the worst we’ve played all season.”

- Declan Rice
 
Inaonesha Kai anafit zaidi CF kuliko LCM, hata Kocha kaanza kumtoa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…