Ukiacha goli la 2 kumbuka blunder ambayo nusu Chelsea atufunge goal la 3 in short ana mistakes za kutosha ambazo nilitegemea sitaziona kwa kariba yake but naona Ramsdale hatastahili kukaa benchi muda wote huo ukizingatia Raya akiwa golini naye ni roho mkononi unaishikaSiwezi laumu sana Raya kwa goli la pili; hata mfungaji Ali- gamble from that position
Yaan upo kwako unafurahia sareNani anashangalia sare nyie na midomo mikubwa au mmeshasahau kuwa mlitoka gerezani juzi tu
Jana mmetoa mimba halafu leo mnatapa eti tunashangilia droo. Tunawafanyia tracking kuanzia sasa ili tuwazike kabisa na midomo yenu michafu kama chemba
Mbona unahasira ,ndio mmeanza safari ya kugombea kutoshuka darajaArsenal ni timu ndogo sana, mlibahatisha msimu uliopita tu, weka kumbukumbu huu utumbo wangu na mtaniambia mwisho wa msimu kuwa ninyi ni very very small team
Raya ni boya tu,heri ya RamsadeUkiacha goli la 2 kumbuka blunder ambayo nusu Chelsea atufunge goal la 3 in short ana mistakes za kutosha ambazo nilitegemea sitaziona kwa kariba yake but naona Ramsdale hatastahili kukaa benchi muda wote huo ukizingatia Raya akiwa golini naye ni roho mkononi unaishika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebidi nicheke tuSo timu yetu ni Cucu na Gusto, wewe unajua vifaa vilivyo nje ya timu ni akina nani wacha upofu
------------Nkunku-------------
Sterling ----Gallagher -----Palmer
-----Caicedo --------Enzo--------
Chilwell ----Colwill ---Fofana ---James
-------------Sachez---------------
Achana na washamba bro watu hawajui mpira humu kibao eti Brighton na Newcastle ni big team daahJamaa mbona kama unaongea kinyume yaan arsenal ndo tume cheza game nyepesi, na tushacheza na spurs, man u, man city, chelsea.
yaan una sema brighton, newcastle n timu ngumu kuliko hizo. Aisee! Kweli hater n hater.
Halafu Sasa Hadi Hawa wanaoshinda kwa mbinde kwa hizi timu nao wanasema watamalizia juu ya ArsenalKuona mamluki wakijazana humu kwenye jukwaa letu kunaashiria ukubwa tulionao, mechi imeisha sare lakini wapinzani wanahesabu tumefungwa.
Mpaka mashabiki wa Chelsea wameliacha jukwaa lao likiwa tupu na kuhamia huku.
Wakiongozwa na timu nyengine zote ikiwemo Man Utd, Man City, Spurs na Liverpool.
Na hapo hatujafungwa!
Sasa naamini kweli Arsenal inawaumiza watu wengi.
Kitu unachokwepa kukisema ni kwamba nyie mmekua kwenye form toka msimu unaanza while kwa Chelsea imekua ikisuasua. Ukiona comment kama hiyo kwa shabiki wa Chelsea ujue anaona improvement kutoka tulipokua.[emoji837] Arsenal fans: “that’s our worst performance in so long”
[emoji838] Chelsea fans: “We’re back, best performance in months”
Score: 2-2
Arsenal ni timu ndogo tu kama Spurs kinachofanya watu tuje humu ni mdomo wenu kuliko uhalisia wa timu yenu miaka 20 hamna kombe lolote kubwa bado mnajipa hope kila sikuKuona mamluki wakijazana humu kwenye jukwaa letu kunaashiria ukubwa tulionao, mechi imeisha sare lakini wapinzani wanahesabu tumefungwa.
Mpaka mashabiki wa Chelsea wameliacha jukwaa lao likiwa tupu na kuhamia huku.
Wakiongozwa na timu nyengine zote ikiwemo Man Utd, Man City, Spurs na Liverpool.
Na hapo hatujafungwa!
Sasa naamini kweli Arsenal inawaumiza watu wengi.
Kwani jana mlishindwa nini kupiga na kuua si mlisema kipindi cha kwanza mtakuwa na goli tanoKenge wakija Emirates tutakuja kupiga tuue
Muitunze hii
Wewe huna timu bana manafurahia sareArsenal ni timu ndogo tu kama Spurs kinachofanya watu tuje humu ni mdomo wenu kuliko uhalisia wa timu yenu miaka 20 hamna kombe lolote kubwa bado mnajipa hope kila siku
Wewe endelea kupambana kutoshuka darajaKwani jana mlishindwa nini kupiga na kuua si mlisema kipindi cha kwanza mtakuwa na goli tano
Umeona ujumbe huo? Yani Rice anawaza kuwa the invincible, that's a mentality we need.[emoji2788]| Declan Rice on the mood in the dressing room following #CHEARS:
“It’s a bitter feeling to be honest, because if we know if we did in the second half what we did in first, we would have won the game.
“In football, things throw out surprises and in the first half, we weren’t as good as we wanted to be. In the second half, I feel like we showed that character again like we did against Man City, and to get the point in the end was a really important result.
“[Being 2-0 down] is tough, it’s really tough. I think you always want to go into games thinking that you’ll get three points, but from the way we came back from 2-0 down away from home, the Chelsea fans and players were really up for it, we showed that fight and character.
“Even though we didn’t win, there are positives to be taken there. The mentality is there, the belief is there that we don’t want to get beaten, and being the best that we can.” [@arsenal] #afc
Acha kupanga rangi upepo wewe ...yan moyon mnajua kabsa arsenal wana kitu kikubwa na wanaprove ...kwakwel siongei kishabiki ila sion timu ya kuifunga arsenal labda nina hofu Na Liverpool kidogooo...unajua kwann (UKIONA MECHI YA EPL YUPO RICE KAMA UNABETI WEKA DOUBLE CHANCE HYO NI 99.99% WIN)...rice is a machine yule ndo arsenal na anacheza tu the extent kama kuwaonyesha wenzie we have to get something from this game ...last season tu li lack someone like rice ...nataman mshakaji apewe ucaptain msimu ujao he deserves it ...na wengi mtashangazwa msimu huu yan Jana anayelaumu sisi kudraw hajui mpira huyo hivi a big team like Chelsea inakufunga goli 2 mpka dakika ya 75+ then unaequalize unapata point halafu bado mnaidharau hii timu...ARSENAL deserves all the credit lakini aliyemsajili rice nkiwa na hela ntamfata Emirates nmpe zawadi ...2023/24 EPL championship is for Arsenal period.Chelsea B vs Arsenal A: 2-2
Tungecheza na Full team A mngelamba vumbi hadi mvimbiwe
Wenzenu tukiwa kwenye ubora lazima tuondoke na kombe lolote kubwa ila nyie miaka 20 sasa mnatengeneza timuWewe huna timu bana manafurahia sare
Mpo nafasi ya 11 mnagombea kushuka daraja
Jana mmekamia na hamjashinda
Small team mentality
Ujifunze kufatilia soka vizuri mpira sio mdomoni masingeliWewe endelea kupambana kutoshuka daraja
Nafasi ya 11 msijisahaulishe mkadhani mpo hata top 6
Ukiangalia kwa jicho lisilo la kishabiki utagundua nilichosema ni kweliWakubwa gani unongea pumba
Manjesta kala kipondo
Mama cita kala kipondo
Spurs Safe
Kenge FC sare
Aliyebaki liVARpool
"Our worst performance and Spurs couldn't beat us"
"Our worst performance and City couldn't beat us"
"Our worst performance and Chelsea couldn't beat us"
Nyie mshakuwa northgham forestWenzenu tukiwa kwenye ubora lazima tuondoke na kombe lolote kubwa ila nyie miaka 20 sasa mnatengeneza timu
Amebaki nani huyo mkubwaUkiangalia kwa jicho lisilo la kishabiki utagundua nilichosema ni kweli