Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea B vs Arsenal A: 2-2
Tungecheza na Full team A mngelamba vumbi hadi mvimbiwe
 
Kama Partey ndo angeshika dimba, Chelsea wasinge tushika kiasi kile, uwezo wa Partey mkubwa sana kwenye ku win duel na kupandisha timu kwa ku pass through na long ball zenye macho, kitu ambacho kinge wafungua chelsea na kuwapa uhuru ode na forward line kufanya yao. Kukosekana kwake kukafanya znchenko kutumia mda mwingi kati na kusababisha kuchelewa ku recover nafasi yake so kukawa njia thanks kwa sub ya mapema ya Tomiyasu. Ila kiukweli under perfomance ya joginho n chanzo ya yote.

Sijajua adi sahv sababu ya arteta kutomchezesha kabsa Partey. Lakin ukweli uko waz Partey ndo Cheat code yetu ya kufungua mabano pale kati, kama tukishindwa kufungua na yupo ndani hapo ndo naamn game tumeshikwa.

joginho n mchezaj mzur game ikimkubali ila jana alichemka sana, sub yake ilitakiwa iwe sambamba na ya znchenko.
 
Mmetoa mimba nyie acheni kujitapa
 
Hakuwa fit
 
Naona akili imeanza kuwakaa sawa ligi bado mbichi lolote linaweza kutokea Man U utashangaa tukamaliza juu ya Arsenal
Manjesta hii ambayo inahangaika had kwa promoted teams

Yenye kocha 7hag na kipa pazia onana?

Au ipi hiyo
 
Wakubwa gani unongea pumba

Manjesta kala kipondo

Mama cita kala kipondo

Spurs Safe

Kenge FC sare


Aliyebaki liVARpool


"Our worst performance and Spurs couldn't beat us"
"Our worst performance and City couldn't beat us"
"Our worst performance and Chelsea couldn't beat us"
 
Kuna vitu vinachekesha ila ndiyo hivyo.

Wapinzani msimu uliopita walituwekea standard.

Kwamba Arsenal hamtakiwi kufungwa.

Msimu huu standards ni Arsenal hamtakiwi kufungwa wala kusuluhu.


Umeona
 
Arsenal ina timu mbili ambazo ikicheza nazo sihofii.

Nyumbu na kenge. Mmoja kashatema points mwingine kapaki basi katoroka na points 2
Wanashangilia sare hawajui wapo kwenye regelation battle
 
City ya sasa bila De Bruyne wanapata matokeo kwa shida na zaidi bila Rodri hakuna viungo pale, so msijitape sana kwa hapo
 
Arsenal fans: “that’s our worst performance in so long”

Chelsea fans: “We’re back, best performance in months”

Score: 2-2
 
City ya sasa bila De Bruyne wanapata matokeo kwa shida na zaidi bila Rodri hakuna viungo pale, so msijitape sana kwa hapo
Wewe jamaa una hoja dhaifu sana

Unajua community shield walikuwepo hao na walipakishwa Basi Kama nyie Jana wakatema bungo


Je unajua Arsenal hatukuanza na key players wanne hiyo last week


Arsenal fans: “that’s our worst performance in so long”

Chelsea fans: “We’re back, best performance in months”

Score: 2-2
 
Alichokifanya Rice ndio Jesus alitakiwa akifanye dhidi ya Spurs, opponent akifanya error muadhibu ajutie.
 
Kuona mamluki wakijazana humu kwenye jukwaa letu kunaashiria ukubwa tulionao, mechi imeisha sare lakini wapinzani wanahesabu tumefungwa.

Mpaka mashabiki wa Chelsea wameliacha jukwaa lao likiwa tupu na kuhamia huku.

Wakiongozwa na timu nyengine zote ikiwemo Man Utd, Man City, Spurs na Liverpool.

Na hapo hatujafungwa!

Sasa naamini kweli Arsenal inawaumiza watu wengi.
 
Hao full timu kina Nani


Nyie hamna timu ya kuifunga Arsenal ,na hapo ulikuwa home
So timu yetu ni Cucu na Gusto, wewe unajua vifaa vilivyo nje ya timu ni akina nani wacha upofu

------------Nkunku-------------

Sterling ----Gallagher -----Palmer

-----Caicedo --------Enzo--------

Chilwell ----Colwill ---Fofana ---James

-------------Sachez---------------
 
Arsenal ni timu ndogo sana, mlibahatisha msimu uliopita tu, weka kumbukumbu huu utumbo wangu na mtaniambia mwisho wa msimu kuwa ninyi ni very very small team
 
Wanashangilia sare hawajui wapo kwenye regelation battle
Nani anashangalia sare nyie na midomo mikubwa au mmeshasahau kuwa mlitoka gerezani juzi tu
Jana mmetoa mimba halafu leo mnatapa eti tunashangilia droo. Tunawafanyia tracking kuanzia sasa ili tuwazike kabisa na midomo yenu michafu kama chemba
 
Kenge wakija Emirates tutakuja kupiga tuue

Muitunze hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…