Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wala hakulazimishi kuamini yeye anaongea kama yeye wala hamshiki mtu kichwa kwa kumlazimisha anachokiamin yeye na mwengine aamini, yeye anaamin kwenye timu kushinda tu je na wanaoamin timu kwenye kufungwa wanawaminisha pia na wao???
Sio kila kitu unakibeba mzee
Think Think Think
 
Chelsea kakaza sana leo ila kutoa kwetu sare kumedhihilisha tumemzidi uwezo,
 
Kweli aisee, ni mawazo yake anaamini ktk kushinda tu, so lazima hufate maoni yake Amini kivyako..
 
Nakubali ulichokiongea bro,,

Yan arsenal ya leo ilivyokua inacheza alafu chakushangaza haijapoteza game daaah ni jambo la kushangaza sana, kila mchezaji alikua off yan ni Rice na Nell pekee walikua angalau wanaonyesha kitu baada ya kipindi cha pili Saka akaamka zaid,


Tuwape safi zao chelsea wametu outplay kabisa leo


Ila sielewi elezi hii sare tumeipataje aisee chelsea angekua na timu ya uakika leo zilikua ni 5 easily kabisa ila kwakua hawana team na kocha ana mentality za uoga za team ndogo akaona game kashaimaliza..

Kuna game zingine sio lazima twende na Ode aisee tuna viungo wengi sana kwenye nafasi ile na team ina move vizuri tu
 
Kweli aisee, ni mawazo yake anaamini ktk kushinda tu, so lazima hufate maoni yake Amini kivyako..
Kabisa sasa hua nashangaa watu wanamvaa bwana Hamis et ooh unatuaminisha hivi na hivi, upuuzi tu yan mtu aje akushikilie Akili na wewe upo tu alf ni baba wa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…