Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kwl hawako tyr mkuu.They are not ready for thisView attachment 2787887
Na Gwajiboi yupo zake Japenga na timu ya Rede[emoji16][emoji16][emoji23].
Ngj tusogee kdg kdg msibani tunaamin marehemu kashakufa huyu lbd itokee miujiza ya Gwajima kumfufua[emoji23]
Naomba record zikutambue uliongea haya [emoji419]Leo tutawakata hicho kidomo domo Chenu , mmekuwa viburi sana sikuhizi , tutawanyoa leo
Ama kwl mnafanya mazoez hata mm naona.Leo tupo katika training ground yetu
Mnachotakiwa kufanya, msikubali tupishane. Mtakufa nyingi
Arteta Kama ame-bet hiviKwl hawako tyr mkuu.
Kwa Arsenal hii hakuna kama hii Gunners
Mkuu Arteta ni master class huwezi mpangia.Arteta Kama ame-bet hivi
Shida ya partey ni nini?
Bado hamjasema ,mtasema tu ....Huyu muddy vipi tena?
Wanaangalia futi wekiDuh huyu RAYA mhhhhh
Mkuu Habari ya jioni[emoji1474]Nimependa tu jinsi Chelkenge wamepata confidence ya kuongea pumba zao humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo Marastafali kazi yenu ni moja tu ya kuwavutisha Arsenyani bange.Nimesema mpaka kuombea poo leo , hatucheki na kima leo
Mtalala na viatu , mmeyakanyaga leo
Arsenal acheni utani nmewapa OV 0.5 hahahaha!Ligi ikichukuliwa na Timu hii ya kibwege itakuwa imenajisiwa , na sisi hatuwezi kulikubali hilo litokee. Chelsea piga haoooooo.