nyapinyapileo
Member
- Oct 19, 2022
- 92
- 215
Narudia tena,wewe na mwenzako Hamis acheni kuaminisha watu humu ujinga,Mpira haujawahi kuwa rahisi hivyoUngeingia kwenye site za betting uwaambie kwanini wanawafanya Kama underdog wakati mpo nyumbani?
Wachambuzi nguli duniani kwenye combine ya arsenal na KengeNarudia tena,wewe na mwenzako Hamis acheni kuaminisha watu humu ujinga,Mpira haujawahi kuwa rahisi hivyo
Weka records za makombe ya maanaKenge vs Arsenal
Head-to-Head
Arsenal are also defending a proud record in London derbies on Saturday, having gone unbeaten through their last 15 Premier League meetings with fellow capital clubs (11 wins, four draws). That represents the third-longest such run in Premier League history.
Kenge enjoyed a 20-game streak between 2004 and 2006, while Arsenal themselves went 35 top-flight London derbies without defeat between 2001 and 2005.
Ata ukiweka wewe itakua poa tuWeka records za makombe ya maana
Kweli.
Wewe ni content creator and u like to work katika klabu ya Arsenal kama social media producer? Utahusika na
1.Kufanya interviews na wachezaji
2.kucover mechi za timu ya wanaume,wanawake na vijana wa Academy.
3.Content Kwa ajili ya akaunti na Channel za klabu
Linkchini
Social Media Producer - Arsenal Football Club
An exceptional opportunity for a savvy Social Media Producer to play a key role in creating eye-catching and thumb-stopping content for our social media channels.careers.arsenal.com
Home advantage itawasaidia kupunguza idadi ya mabao.Kenge tunatakiwa tufunge magoli zaidi ya 3 kwenye mechi ya kesho.Sioni Cha kutuzuia kufanya hivyo.
Home advantage itawasaidia kupunguza idadi ya mabao.
Ni kweli kabisa.. Nidhamu ya Saliba, White na Gabriel ndio inafanya defence yetu kuwa imara kuliko last season.Lakini we need a disciplined team, jambo ambalo naona msimu Mikel kafanikiwa ku-instill