Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Mikel Arteta will hold his pre-match press conference for Arsenal’s #PL away trip to Chelsea at 09:00am on Friday.

#CHEARS
 
Wewe ni content creator and u like to work katika klabu ya Arsenal kama social media producer? Utahusika na

1.Kufanya interviews na wachezaji
2.kucover mechi za timu ya wanaume,wanawake na vijana wa Academy.
3.Content Kwa ajili ya akaunti na Channel za klabu

Link
chini

 
Chelsea wanavyodanganyana wanatuchukulia sawa na kina manjesta ,Luton, Burney

Arsenal Ni best team mentally,tactically

Kibaya zaidi msimu huu hatujawahi kucheza tukiwa full squad ,vs Chelsea tutakuwa full Squad kasoro Jurrien Timber tu

Shughuli yetu wanaijua hasa manjesta ,

Dakika 100 walipata Kona 2, waliingia box la Arsenal Mara chache zaidi katika historia toka msimu wa 2006/2007

Walikuwa hawawezi kupiga pass 10 eneo la kiungo Cha Arsenal

Walipiga pass 200 kwenye eneo Lao

Expectation tutaingia na kikos hiki


Labda yatokee majeruhi huko mazoezini
 
🔴⚪️ Ramsdale on relationship with David Raya: “We work professionally really well together. We push each other in training”.

“There's days where I come in and I'm down because of the situation and he picks me up. I’d do the same for him. We support each other”, told Mail.
 
Kumbukumbu:

Msimu wa 1990-1991 Arsenal alichukua ubingwa Kwa kupoteza mechi moja tu. Enzi hizo chini ya George graham. Tulikuwa tunaanza kuonja u-invincible sema ikawa kinyume chake na tukaanza kuporomoka zaidi.

Enzi hizo tuna wachezaji walevi na mateja kama Tony Adams na Paul Merson. Kocha wetu naye alibidi atimuliwe kwa sababu ya ufisadi. Jamaa alichukua chake chini ya meza katika sajili za wachezaji ( kama afanyavyo 7hag saivi).

Pia 1994, Arsenal ilibeba kombe lake la kwanza na la mwisho la UEFA Cup Winners' Cup, kabla ya shindano hili kumezwa na UEFA Cup aka Europa Cup.
 
 
 
Hawa jamaa hawajui kabisa wanakutana na timu ya aina gani wanadhani tunatoa vipigo kwa kubahatisha

Mbaya zaidi wanakutana na best Trio Midfield in the world

Hapa unapata Radha zote

Ufundi,tackling, athleticism,chance creation,high passing ability, press resistance,
 
Mikel Arteta on his conversation with Pep Gurdiola after #Arsenal beat City:

"He said to me: 'Congratulations, you guys are a terrific team, and let’s move on.'"
 
Baada ya mapumziko, wanaweza wasirudi uwanjani
 
Huu uzi umeanzishwa mwaka 2006 lakini mpaka leo hamjawahi kunyenyua UEFA haya basi hata EUROPA ndio imewashinda jamani??

Sasa mnadiscuss nini humu?
 
Tuliza mhaho huo,Mpira haujawahi kuwa rahisi hivyo kama unavyotaka kuaminisha humu,just respect yourself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…